Apple icon na dhana inayoleta maswali

Nipe huo ushhidi kuwa Freemason sio watu wabaya kwanza halafu hayo mengine yatafuata baadae......
Hawana ubaya....ni uchafuzi tu wa title yao,kwani freemasons mnaichukuliaje?,hawa watu walizichota pesa na wanazidi zichota kwa ubunifu wa majengo marefu(tower),na hata mabenk na pia majengo ya kifahari,tusome vitabu kiumakini tusikurupuke,mfamlme suleimani mwenyewe hekalu walimjengea wao,afu ili swala la adam na hawa walimega apple embu tuachane nalo,tambueni bible ni kitabu ndio kitakatifu ila cha kukopiwa baadhi ya maandiko ya agano la kale,toka uumbaji mpka marejesho ya waisrael kutk kule misri n.k....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Steve Jobs wala mwenzake Steve Wozniak walioanzisha apple hawakuwa freemason wala hawakuwa na muda wa kuamini dini yoyote.Jobs alikuwa anafata misingi ya kibudha...kwahiyo msiwahusishe na secret organization zozote.Kwanza walikuwa hawana muda..
Umedanganya. Wozniak ni mwanachama wa freemason na iko wazi.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Mbona Man U wanajiita 'Red Devils' na bado watu wanawashabikia?

Hata hivyo kila kitu kilichoanzishwa na mwanadamu kinabeba maana na roho fulani.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Sasa ushahidi wako uko wapi kuwa Freemason siyo watu wabaya?
 
Umedanganya. Wozniak ni mwanachama wa freemason na iko wazi.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
Unakua watu wengine sjui mnatoka wapi na hadithi zenu za kwenye vijiwe vya kahawa.Hebu soma A
Umedanganya. Wozniak ni mwanachama wa freemason na iko wazi.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
Soma autobiography ya Steve Jobs -STEVE JOBS halaf ndyo uje uongee upuuzi wako.No research no right to speak!
 
hiyo ni biashara.
km imeumwa kidogo tu matokeo yake ndio haya vipi km lingeumwa au lingeliwa lote.
kwa maana nyingine tutegemee innovations nyingi zaidi ya haya tuonayo
 
Unakua watu wengine sjui mnatoka wapi na hadithi zenu za kwenye vijiwe vya kahawa.Hebu soma A

Soma autobiography ya Steve Jobs -STEVE JOBS halaf ndyo uje uongee upuuzi wako.No research no right to speak!
Matusi ya nini kwenye hoja?
Acha bange wewe! Kila anayefuatilia habari za Technology anajua Woz ni freemason!

Me sijaanza kumfahamu Jobs jana, wala Wozniak, wala Ive.

Nimeshakwambia Wozniak ni mwanachama wa Freemason, hutaki unaacha!

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Steve Jobs wala mwenzake Steve Wozniak walioanzisha apple hawakuwa freemason wala hawakuwa na muda wa kuamini dini yoyote.Jobs alikuwa anafata misingi ya kibudha...kwahiyo msiwahusishe na secret organization zozote.Kwanza walikuwa hawana muda..
We kama unajielewa kweli unasemaje Jobs na Woz hawakuwa na muda wa kuamini dini yoyote alafu sentensi inayofuata unasema "Jobs alikuwa anafuata misingi ya kibudha!!!???"

Wananikera wanaojifanya wako makini kumbe hata katika maongezi yao wanajikanganya!

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Steve
Jobs hakuna muumini wa dini,nimesema alikuwa anafata MISINGI ya budha sababu spiritual leader wake alikuwa anafata misingi ya kibudha.Ungekuwa unamjua vizuri Jobs kama unavyodai ungejua hili.Hata alipokuwa anafunga ndoa na Mke C. Powell walifunga ndoa ya kibudha..Naomba usinichoshe maana inaonekana unabishana vitu usivyovijua,hebu soma kwanza autobiography yake kwanza inayoitwa Steve Jobs iliyoandikwa na Walter Isaackson ndyo uje ubishane na Mimi.Acha na hizo source zingine kwanza.
 
Ok.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Hiyo ni vita ya kibiashara tu hakuna ukweli wowote wa masuala ya shetani, hata wewe leo ukianzisha biashara yako na kufanikiwa wapinzani (competitors) wako lazima watakuzushia kitu ili wateja wako wapate walakini kutoka kwako
 

Afadhali wewe....
 
Hizo ni alama tu (nembo) zinazo weza kubiniwa na Msanifu/Msanii yeyote hodari, just imagine kama ungekutana na nembo/ishara ya pengine Embe ama Kiazi mviringo ndio Limeng'atwa/kimeng'atwa je ungejenga hisia gani...!?
 
interesting........

ishu za Freemasons na Illuminati ziko so confusing
sometimes hujui kipi cha kweli kipi uongo

mmara utasikia namba 6 ndo ya iluminati
mara namba 7 mara namba 9 mradi hujui ipi kweli au yote uzushi
Usipende kuhoji vitu usivyoweza kupata ukweli wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…