Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TunatupiamoAnachokizungumzia mtoa mada kimeeleweka kweli?, mbona michango ya wadau ni tofauti na mada yenyewe.
Tupe reference ndugu kwenye hilo soko ili tujifunze, ni simu gani au toleo gani la Oppo, Vivo na XiaomiOppo na Vivo na Xiomi mkuu wameshaanza sumbua soko la samsung.
Ukitaka kufa masikini tumia iphone
Linakua kwa kasiSisi wa itel soko letu lipo vp mkuu??? maana naipenda sana hii simu.
Sasa hivi vita ya urusi imeathiri sana makampuni ya Tech ya West, wameshuka wapo 2.7T, Microsoft, Intel, Amazon na wengineo pia wamedrop sana.Wanastahili.apple sehemu kubwa wanamfanya mteja ahisi anathaminiwa.samsung ni kampuni inayofanya kitu pia.
Hivi mnapoangaliaga ubora wa simu huwa mnaangaliaga charge tu?Nadhani sasa hivi wanakuja vizuri kwenye betri. Niliona mkbh anareview simu akasema iphone 13 pro max ndiyo simu inayokaa na chaj sana kuliko hata flagships nyingine ukiondoa moto G