Sasa mimi bada ninayo hadi sasa na nakugongea bit sasa hivi ni Sumsung J7 tangu miaka hiyo kama miaka minne huko au sita , simu hii haichoki nachaji usiku hadi usiku, hakuna stack wala nini yaani nina glide smoothly, kila kitu chake kinaridhisha, ina tochi kali, good pictures, usikivi mzuri yaani wa simu hauumizi masikio,
Ila tahadhari , tangu nianze kutumia hii simu sasa macho yangu yamepungua uwezo wa kuona clear pictures mwanga ukiwa mdogo namaanisha maandishi ya vitabu yaliyo madogo kama bi blia zile za zamani, sina long wala short sited nikiwasha tochi naona clear, naomba ushauri wa kula na sio kuvaa miwani, naomba ushauri mzuri..