Apple inaacha kutengeneza iPhone Mini

Apple inaacha kutengeneza iPhone Mini

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
ceda6bb6e7da5207826467b7531732f4.png

Apple inaacha kutengeneza iPhone mini na katika iPhone 14; haitatengeneza iPhone mini size ya inch 5.4.

iPhone 14 zitakuwa na size ya 6.1 inch (size ya iPhone ya kawaida na iPhone Pro ndogo) na size ya inch 6.7 (size ya iPhone Pro Max).
 
hapa walipiga hesabu vibaya.

mwaka huu 2021 simu zenye display ndogo hazina maana tena.ndio maana mapokeo ktk kisimu hicho ni hafifu.
Itakuwa wamecheza na plan wame identify matatizo ambayo wanaweza kukutana nayo.
 
Sim yenye size ndogo hata battery inakuwa ndogo na motherboard inakuwa complicated sababu ya space
Na kioo kidogo hivyo haili chaji sana.

Sony Angalia simu zake ndogo mbona zina soko na zinakaa sana na chaji,

Iphone mini chaji ni kimeo sana, pamoja na Se 2nd gen.
 
Wangeendelea kuzitengeneza ila ziwe na bei ndogo,unakuwa na kisim kiduchu ila kimesheheni mambo makubwa......
 
Back
Top Bottom