Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Jipakulie minyama mzee....
 
Stereo sio about high and mids

Stereo Ni ile hali ya spika mbili kupiga two channel not mono ..

Namna zinapokezana beat na vionjo kadhaa hio ndo stereo

Hivo ukikuta radio ama amp iko na stereo means inaweza piga two channel Kama zinavotoka studio
Mzee Stereo ni audio channels Left and Right. Mziki unapotayarishwa unapangwa kwenye hizo channels.
 
Mdogo angu alikua ananisimulia.....Mimi nimezeeka nawa achia vijana...πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Hahaha mbona kukatishana tamaa mzee kwamba wamefunga kiwanda ama? si mkuu Teslarati juzi tu hapa amemringishia mtu hizo earpods baada ya kutoka jogging?.
Anatania tu huyo, Nura wako specialized na hizi mambo, sio kama apple au sony ambao wana madude kibaoooo, wao wamespecialized na hii part tu, automatically lazima wakupe product nzuri. Nmekuwekea picha kwenye comment nlokuquote mwanzo, angalia hata cover tu, ngoma buttons zake ni next-gen stuff, The whole thing is actually next gen

Do a simple google search on nuratrue
 
Bro Extrovert na mi napenda sana music. Ila product za Apple aisee gharama sana.

Mfano izo ulizoweka Airpod Pro 2nd gen Original mpya kabisa $250 just imagine. Ukiona umeuziwa tofauti na iyo bei ni either used au fake.

Mi uwa najaribu mbadala wake mfano sasa natumia Redmi Bud 3.


Ingawa zenyewe sio in-ear ni zile za kuweka kwa nje, sijazipenda sana maana hazina ANC.

Nilichojifunza, kama unataka Bass chukua izo kama za Apple ulizopost ata kama ni copy. Hivi vya kuweka tu nje vibaya ukiwa kwenye makelele ata hausikii music wala ukiongea na simu hausikiki vema.
 
Nilishaona mkuu hata sasa nilikuwa nacross check kwenye website yao jamaa wako vyema sana hata makamanda waliotupia maskioni inavutia sana, sio kama hizi za kwetu ukimuangalia mtu kwa haraka haraka utadhani amegandiwa na wadudu maskioni vitu havieleweki.
 
 
Imagine $250 na $1.5 ya Extrovert hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…