Oraimo ndio mwisho wa matatizo.
Mie ninazo za waya na wireless.
Za waya zinauzwa 3500... Tuuuu
Nimenunua package 10 nimeziweka kwenye Bag maana najua nikirud tena dukan nawez nisizikute au nikakuta PHAMBALIOTICK product.
Oraimo yupo vizuri kuliko AKG na hizo taka taka za Apple.
Wireless zipo vyere... mno alafu durability mie naangalia na materials kuanzia hizi za waya material yake yaan mpk unqzikatq hizi basi umeamua. Unakata kwa kisu. Sio zijikunje zikatike hapana.Hahahahahah hutaki maskharaaa shee, yani unyama mwingiii. Za wireless niaje?
Poa ngj nizitandike pichaMkuu unapicha ya hizo oraimo ?
Please share[emoji120]
Kila mtu na akipendacho kaka,binafsi mimi kwa bose,harman kardon na bose ni bora kwangu,yan mtu toka mbwigila huko unadiss jbl,jbl uliyotumia itakua fake hiyo labda,unanunua jbl elfu 20 halafu unategemea upate sound nzuri 😂Kati ya brands za sauti ninazochukia ni JBL, hawa hata spika zao ni makelele tu, hamna kitu humo mkuu, labda itakua hujui taste ya clean & clear sound
No, mie nakuta watu wanatumia lkn wakiyawasha ndo kelele tupuKila mtu na akipendacho kaka,binafsi mimi kwa bose,harman kardon na bose ni bora kwangu,yan mtu toka mbwigila huko unadiss jbl,jbl uliyotumia itakua fake hiyo labda,unanunua jbl elfu 20 halafu unategemea upate sound nzuri 😂
hizo earpod zimekamilikZina bass nzuri ?
Sjawah kupata earpods zenye bass
hahaha ww jamaa haupo seriousMkuu,
Hii comment usiidharau. Ila endapo hizo zitaharibika nakushauri ujaribu na earpods za Oraimo.
Tafuta original kabisa na uzi utakaofuata itakuwa ni kuzisifia kwa viwango kuliko hizo za Apple.
Sio og kaka,hata hizo za kuagiza ebay nyingi kanjanja,kama una mtu.usa au europe jaribu kumuagiza,huwezi kukuta earbuds au earpod og inauzwa hata laki huko kwa wenzetu,nyingi ni copy,nishakuta sony earbuds wf 1000xm4 inauzwa elfu 60 k'koo wakati uk inauzwa £200 😂😂,halafu atakuja kukuambia sony hamna kitu while kanunua fambaNo, mie nakuta watu wanatumia lkn wakiyawasha ndo kelele tupu
Mkuu unapicha ya hizo oraimo ?
Please share[emoji120]
Mkuu ushawahi kujaribu poweramp playerNatumia Selenium Player, ina powerful Equalizer. Napunguza highs mziki unabaki mzito tu.
Unyama sanaEh napenda thumping deep bass na highs ila zisizidi. Unakuta naminya mids kidogo then highs zinakuwa level. Hii inasaidia kusikiliza mziki mda mrefu bila kupata ear fatigue.
Sasa hizi Pods wame enhance sana Bass na Crispy highs kuna baadhi ya nyimbo zenye 320kbps zinafanya distortion ukiweka full volume kama vile zimekuwa Pre-amped zaidi. Ila nishaiset mahali imetulia tu sasa.
Umezungumza kwa busara sana.Unajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..
View attachment 2613544
Sasa iyo ndio ununue ayo madude ya kusikiliza nyimbo ulizo download kwa DJ Mwanga..
View attachment 2613545
Wakati unaweza kununua used TVS boxer BM 150 mbili ukawapa vijana wawili ajira na wewe kila siku ukawa unaletewa pesa..
View attachment 2613547
Chenji unanunua fwamba kama ilo la Extrovert
Dah nina mawazo ya kimasikini sana bro.
Mahesabu makaliUnajua $550 ni Mil 1.2 na ushee..
View attachment 2613544
Sasa iyo ndio ununue ayo madude ya kusikiliza nyimbo ulizo download kwa DJ Mwanga..
View attachment 2613545
Wakati unaweza kununua used TVS boxer BM 150 mbili ukawapa vijana wawili ajira na wewe kila siku ukawa unaletewa pesa..
View attachment 2613547
Chenji unanunua fwamba kama ilo la Extrovert
Dah nina mawazo ya kimasikini sana bro.
Huyo ana uchumi wa bluu mkula, sie wa uchumi mweusi tunaishi na pods za LuteniBongo raha sana yan kitu cha ten unakula music wa maana while kuna mwana kachukua hii kitu kwa €138 kama jiwe Tzs na haina maajabu sana 😂View attachment 2613554
Ime miss nn mkuu ulicho kikosa,.. naona kama ipo vizuri sanaHio naijua ila haina kitu nachokitaka
Iko njema kweli ila Equalizer yake sio powerful. Nayotumia Selenium inataka fanana na Poweramp ila sound reproduction yake ni nzuri zaidi hasa ukijua kucheza na Equalizer.Ime miss nn mkuu ulicho kikosa,.. naona kama ipo vizuri sana
Hizi ziko njema nimezi try jana. Ila nataka za wireless zake.View attachment 2613589
Kula chuma hicho..
View attachment 2613594
Wirelss nimeziacha Ofisini bahat mbaya.
Kweli kakaHuyo ana uchumi wa bluu mkula, sie wa uchumi mweusi tunaishi na pods za Luteni