Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Oraimo ndio mwisho wa matatizo.

Mie ninazo za waya na wireless.

Za waya zinauzwa 3500... Tuuuu

Nimenunua package 10 nimeziweka kwenye Bag maana najua nikirud tena dukan nawez nisizikute au nikakuta PHAMBALIOTICK product.

Oraimo yupo vizuri kuliko AKG na hizo taka taka za Apple.

Mkuu unapicha ya hizo oraimo ?
Please share[emoji120]
 
Hahahahahah hutaki maskharaaa shee, yani unyama mwingiii. Za wireless niaje?
Wireless zipo vyere... mno alafu durability mie naangalia na materials kuanzia hizi za waya material yake yaan mpk unqzikatq hizi basi umeamua. Unakata kwa kisu. Sio zijikunje zikatike hapana.

Hata ukifua bahat mbaya zinapiga kazi.

Pia zinafit ktk maskio vzr kbs.

Wireless zipo poa ila sipendelei sana kutumia Wireless maana mionz ile jau
 
Kati ya brands za sauti ninazochukia ni JBL, hawa hata spika zao ni makelele tu, hamna kitu humo mkuu, labda itakua hujui taste ya clean & clear sound
Kila mtu na akipendacho kaka,binafsi mimi kwa bose,harman kardon na bose ni bora kwangu,yan mtu toka mbwigila huko unadiss jbl,jbl uliyotumia itakua fake hiyo labda,unanunua jbl elfu 20 halafu unategemea upate sound nzuri 😂
 
No, mie nakuta watu wanatumia lkn wakiyawasha ndo kelele tupu
Sio og kaka,hata hizo za kuagiza ebay nyingi kanjanja,kama una mtu.usa au europe jaribu kumuagiza,huwezi kukuta earbuds au earpod og inauzwa hata laki huko kwa wenzetu,nyingi ni copy,nishakuta sony earbuds wf 1000xm4 inauzwa elfu 60 k'koo wakati uk inauzwa £200 😂😂,halafu atakuja kukuambia sony hamna kitu while kanunua famba
 
Mkuu unapicha ya hizo oraimo ?
Please share[emoji120]
20230507_190607.jpg

Kula chuma hicho..

20230507_190844.jpg


Wirelss nimeziacha Ofisini bahat mbaya.
 
Eh napenda thumping deep bass na highs ila zisizidi. Unakuta naminya mids kidogo then highs zinakuwa level. Hii inasaidia kusikiliza mziki mda mrefu bila kupata ear fatigue.

Sasa hizi Pods wame enhance sana Bass na Crispy highs kuna baadhi ya nyimbo zenye 320kbps zinafanya distortion ukiweka full volume kama vile zimekuwa Pre-amped zaidi. Ila nishaiset mahali imetulia tu sasa.
Unyama sana
 
Ime miss nn mkuu ulicho kikosa,.. naona kama ipo vizuri sana
Iko njema kweli ila Equalizer yake sio powerful. Nayotumia Selenium inataka fanana na Poweramp ila sound reproduction yake ni nzuri zaidi hasa ukijua kucheza na Equalizer.
 
Back
Top Bottom