Kama ni hivyo huna budi kunielekeza nizipate hizo earpodsUkiskiliza nachoskiliza mimi kwenye simu yangu hakitofautiani na mziki wa gari uliosukwa kikamilifu na vifaa vyote muhimu. Kama ushasikia mziki wa Sony Xplod au Pioneer ndio nachoskiliza kupitia hizia Airpods na Selenium player.
Haziwezi kuwa FAMBA?Ni EarPods
Utakuwa umepokea mzigo toka Apple siyo bure.Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.
Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories zao ila hivi karibuni nikiwa katika harakati za kutafta earphones ikiwa nilishatumia AKG by Samsung na kuzipenda nikaanza kuzisaka bila mafanikio zote zilikuwa famba.
Katika moja na mbili nikaamua nimenye za Apple japo kishingo upande ili niweze kuzitest nkapachika na kuset bluetooth na kuweza kuwasha walkman app yangu ikiwa kwenye default settings. Baada ya nyimbo ya kwanza tu kugonga nikawa so amazed nazo.
Kile ambacho nilikuwa nakitafuta nilikipata instantly. Sikuwahi kufikiri apple wanaweza kutengeneza earphone za kinyama namna hii hasa baada ya kusikiliza nyanga zao walizotoa before na watu walikuwa wanasifia nini hasa maana sikuona maajabu.
Kwenye hizi inner ear naomba niwape maua yao hawa vijana wa Steve cook. Kwa hakika wame cook earphones zenye kiwango cha Standard Gauge kwa sasa. Bass iko tight na acoustics ziko balanced. Earpods oyeee!!! 😀View attachment 2612969
Haziwezi kuwa FAMBA?
Mkuu Nipe ramani ya duka chap nikadake ata 10 zngne ntauza hahaJumla Jumla kariakoo nimezipata kwa 10K tu. Ila nadhani reja reja itakuwa zaidi ya hio. Ama mkoani huko ni mauaji.
Anhaaa mi nataka nikujue pia unafananaje 😃😃😃 naeza saidiwa??😂😂Baadhi tu
Wapi hapo zamani round about auUle mtaa sijui hata unaitwaje ila ni mtaa wa kwanza kabisa ukitoka mataa ya congo kama unarudi buguruni. Unautazama the opposite side.
Wabongo kila kitu ujuaji MTU kaenda katest kaona iko powa kaja kutoa feedback watu mbamba nyingiHahahaha braza unasema hamna kitu kwamba maskio yangu yanadanganya?[emoji3]
We ulitaka niseme ni elfu 50 ili uamini ni nzuri.
Amini nikitaka kufanya biashara naweza wapata wengi nikawauzia hata 30K tu mikoani. Zina mziki mzuri uliojaa.
Laki Saba dah watu hela mnazo au mmekopaNiache kununua home theatre au soundbar ninunue earphones laki 7. Labda kama baba yangu angekuwa fisadi wa over invoicing. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mangdakiwe konde boyiiii [emoji442][emoji442][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
Dj walete elites na amapiano moja
Hahahah hizi ni balaa zito. Ziko mitaa ya K-Town huku
Eeh zamani round about. Ukiwa unarudi towards buguruni huo mtaa unaouona wa kwanza. Wa pili ni wa akiba bank ule bila shaka. Ukiingia na mtaa wa kwanza unaenda nao mbele mbele kuna hilo duka kwenye chochoWapi hapo zamani round about au
ORAIMO NI firee nimetumia earphones zake zinagonga noma na zinadumu Sasa hv nataka ninunue Head phone zake kabisa zile za 95kOraimo nimejaribu za waya jana zinagonga vizuri sema tu sababu ni Oraimo na sikutaka za waya. Nataka za Bluetooth. Huwa wanauzaje Pods zake?