Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo.

Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories zao ila hivi karibuni nikiwa katika harakati za kutafta earphones ikiwa nilishatumia AKG by Samsung na kuzipenda nikaanza kuzisaka bila mafanikio zote zilikuwa famba.

Katika moja na mbili nikaamua nimenye za Apple japo kishingo upande ili niweze kuzitest nkapachika na kuset bluetooth na kuweza kuwasha walkman app yangu ikiwa kwenye default settings. Baada ya nyimbo ya kwanza tu kugonga nikawa so amazed nazo.

Kile ambacho nilikuwa nakitafuta nilikipata instantly. Sikuwahi kufikiri apple wanaweza kutengeneza earphone za kinyama namna hii hasa baada ya kusikiliza nyanga zao walizotoa before na watu walikuwa wanasifia nini hasa maana sikuona maajabu.


Kwenye hizi inner ear naomba niwape maua yao hawa vijana wa Steve cook. Kwa hakika wame cook earphones zenye kiwango cha Standard Gauge kwa sasa. Bass iko tight na acoustics ziko balanced. Earpods oyeee!!! 😀View attachment 2612969
Utakuwa umepokea mzigo toka Apple siyo bure.
 
Hahahaha braza unasema hamna kitu kwamba maskio yangu yanadanganya?[emoji3]
We ulitaka niseme ni elfu 50 ili uamini ni nzuri.

Amini nikitaka kufanya biashara naweza wapata wengi nikawauzia hata 30K tu mikoani. Zina mziki mzuri uliojaa.
Wabongo kila kitu ujuaji MTU kaenda katest kaona iko powa kaja kutoa feedback watu mbamba nyingi

Aya anayeuza pod za akg aje Dm
 
Oraimo nimejaribu za waya jana zinagonga vizuri sema tu sababu ni Oraimo na sikutaka za waya. Nataka za Bluetooth. Huwa wanauzaje Pods zake?
ORAIMO NI firee nimetumia earphones zake zinagonga noma na zinadumu Sasa hv nataka ninunue Head phone zake kabisa zile za 95k
 
Back
Top Bottom