Pale mlimanicity Kwa Nyuma Kuna jamaa ana store anazo genuine speaker za JBL unatestiwa Kabisa ukiridhika unasepa nayo
Kuwa na roho ya kizungu kazi sana mzee acha wapigwe Tu Mimi mpaka Leo situmia sabwoofer sijui alitop seapiano sijui aliyon sizitaki cozi sipati Kitu Kile sikio , moyo na ubongo vinatakatatizo mtu akiambiwa charge 3 vile ilivyo ndogo ni laki 3 hataki hata kutest tena anaishiwa nguvu anaondoka,akifika sehem akaambiwa hii ni elfu 45 anaona yeeees.
Ancha mi Nina hii JBL flip 5 naisukuma nivute Xtremealikuja jamaa sehem amekafungia kwenye holder yake kiunoni hakaonekani,tunasikia mziki tu[emoji3][emoji3],jamaa yangu pembeni akaniuliza huu mziki kwa jamaa unatoka wapi???nikamwambia kwenye hako ka kikoba hapo kiunoni,halafu nikagoogle hii picha,hakuniamini kabisa.
Naam.JBL mchina anazifyatua like a Joke. Sio vitu vya kuuzwa kizembe K. Koo. Ukitaka kupata JBL Original labda itokee Marekani kuja huku
Mkuu mimi ninaka subwoofer Aborder nilikachukua 2017 Moshi ..Kuwa na roho ya kizungu kazi sana mzee acha wapigwe Tu Mimi mpaka Leo situmia sabwoofer sijui alitop seapiano sijui aliyon sizitaki cozi sipati Kitu Kile sikio , moyo na ubongo vinataka
Then I go for JBL ,BOSE ,OKYO,ANKER,SONY,WONDERBOOM
Ogopa sana mziiki wa JEIBIELO
Kana base kubwa au ww ni mzee wa treble.🤣 Babu pale chimbo mzigo uimeisha zangu zilipotea kwenye basi. Natumia zingine zinaitwa "EDIFIER" ni za mtumba brand ya kimarekani ziko na form factor ya TWS kama JBL, SAMSUNG zile TWS.
Sema zinagonga sound ya kibabe sana hakuna hata Oraimo inagusa huu umeme na zinakaa na charge more than 8 hours.
View attachment 2726896
nishauri nidake mzigo upiMimi. Ni bass head
Wadau kwa aliewahi kutumia hili dundo alete mrejesho kuna mahali nimeziona nikipata hela nizihamishie kutoka dukani hadi kwenye masikio yangu
View attachment 2748854
NB;NAJUA JBL hawana Kazi mbovu kabisa
Mimi hizi airpods sijui earbuds nishaapa siji kununua hadi nipate original na nitazinunulia eiza apple au kampuni husika ni heri nionekane mshamba kutumia wired eaphones mpaka leo kuliko kutumia copy hadi leo natumia wired.
[emoji91][emoji91][emoji91] acha kabisaOgopa sana mziiki wa JEIBIELO
Ngja nijikusanye maana zinauzwa bei sana approximately 50kJbl ni quality, enterprise edition aisee
Ngja nijikusanye maana zinauzwa bei sana approximately 50k