Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

tatizo mtu akiambiwa charge 3 vile ilivyo ndogo ni laki 3 hataki hata kutest tena anaishiwa nguvu anaondoka,akifika sehem akaambiwa hii ni elfu 45 anaona yeeees.
Kuwa na roho ya kizungu kazi sana mzee acha wapigwe Tu Mimi mpaka Leo situmia sabwoofer sijui alitop seapiano sijui aliyon sizitaki cozi sipati Kitu Kile sikio , moyo na ubongo vinataka

Then I go for JBL ,BOSE ,OKYO,ANKER,SONY,WONDERBOOM
 
alikuja jamaa sehem amekafungia kwenye holder yake kiunoni hakaonekani,tunasikia mziki tu[emoji3][emoji3],jamaa yangu pembeni akaniuliza huu mziki kwa jamaa unatoka wapi???nikamwambia kwenye hako ka kikoba hapo kiunoni,halafu nikagoogle hii picha,hakuniamini kabisa.
Ancha mi Nina hii JBL flip 5 naisukuma nivute Xtreme
 
Wadau kwa aliewahi kutumia hili dundo alete mrejesho kuna mahali nimeziona nikipata hela nizihamishie kutoka dukani hadi kwenye masikio yangu
20230914_104617.jpg

NB;NAJUA JBL hawana Kazi mbovu kabisa
 
Kuwa na roho ya kizungu kazi sana mzee acha wapigwe Tu Mimi mpaka Leo situmia sabwoofer sijui alitop seapiano sijui aliyon sizitaki cozi sipati Kitu Kile sikio , moyo na ubongo vinataka

Then I go for JBL ,BOSE ,OKYO,ANKER,SONY,WONDERBOOM
Mkuu mimi ninaka subwoofer Aborder nilikachukua 2017 Moshi ..
Aise sikufichi maana najua mziki mzuri kanadunda ni balaa
NB;Tusi zi understimate product za kichina.
 
🤣 Babu pale chimbo mzigo uimeisha zangu zilipotea kwenye basi. Natumia zingine zinaitwa "EDIFIER" ni za mtumba brand ya kimarekani ziko na form factor ya TWS kama JBL, SAMSUNG zile TWS.

Sema zinagonga sound ya kibabe sana hakuna hata Oraimo inagusa huu umeme na zinakaa na charge more than 8 hours.
View attachment 2726896
Kana base kubwa au ww ni mzee wa treble.
 
Back
Top Bottom