Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Nitakupa link ya lenovo za ku touch AliExpress Ni 30k tu

Speedaf siku 12 iko mikononi mwako ziko njema sana
 
Hahahahaaa.

Tukisema tusinunue vya bei kubwa na walengwa ni sisi zitabakia kama zilivyo.
We unafikiri kwanini wahindi wamejaza aborder na Mr. UK kwenye maduka yao ambayo mwaka 2008 yalikuwa yana name brands tu. Kama Sony, Panasonic, LG, Samsung.

Mchina sio mtu, we toa ya laki3 yeye anatoa hio hio ya elfu 30.🤣🤣🤣 Kitu ni kile kile
 
Natumia Selenium Player, ina powerful Equalizer. Napunguza highs mziki unabaki mzito tu.
Stereo sio about high and mids

Stereo Ni ile hali ya spika mbili kupiga two channel not mono ..

Namna zinapokezana beat na vionjo kadhaa hio ndo stereo

Hivo ukikuta radio ama amp iko na stereo means inaweza piga two channel Kama zinavotoka studio
 
Unamaanisha hupendi high bila shaka
Eh napenda thumping deep bass na highs ila zisizidi. Unakuta naminya mids kidogo then highs zinakuwa level. Hii inasaidia kusikiliza mziki mda mrefu bila kupata ear fatigue.

Sasa hizi Pods wame enhance sana Bass na Crispy highs kuna baadhi ya nyimbo zenye 320kbps zinafanya distortion ukiweka full volume kama vile zimekuwa Pre-amped zaidi. Ila nishaiset mahali imetulia tu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…