Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazo zingine hizo?Mtumba nimenunua kwa mwana tu 20k
Hizi kama hereni jau zisikubali,cheki mzigo huu ukivaa unavutia ukienda nazi ukweni ndio kabisa inaweza kupewa mke bure.🤣 Babu pale chimbo mzigo uimeisha zangu zilipotea kwenye basi. Natumia zingine zinaitwa "EDIFIER" ni za mtumba brand ya kimarekani ziko na form factor ya TWS kama JBL, SAMSUNG zile TWS.
Sema zinagonga sound ya kibabe sana hakuna hata Oraimo inagusa huu umeme na zinakaa na charge more than 8 hours.
View attachment 2726896
Ishi nao huoHizi kama here jau zisikubali,cheki mzigo huu ukivaa unavutia ukienda nazi ukweni ndio kabisa inaweza kupewa mke bure.View attachment 2726918
Mzigo unanata kwa sikio ,huu kuna hela naisikilizia nikauchukueView attachment 2726922
Tunza hizo bro, Una bahati Sana tena sana.Hana mkuu
Wewe utafungwa mzee Kwa mtu anayejua mziki JBL ni habari nyingine LABDA Hiyo ulitestiwa fake JBL Ina Kila sound unayotakaSpeaker za JBL ni kwerekweche mzee
Hujaelewa namaanisha JBL ni balaa zito. Naijulo ile nshasikiliza speaker zake hadi Home theatre ni balaa zito.Wewe utafungwa mzee Kwa mtu anayejua mziki JBL ni habari nyingine LABDA Hiyo ulitestiwa fake JBL Ina Kila sound unayotaka
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Asee ila Equivalent ya JBL ni Bose or okyo [emoji95]Hujaelewa namaanisha JBL ni balaa zito. Naijulo ile nshasikiliza speaker zake hadi Home theatre ni balaa zito.
Zipo mkuu wala hufiki huko kwa Bose. Ziko sound zinaenda mstari na JBL sema mkiambiwa mtabishana hilo linabaki stoo tu.Asee ila Equivalent ya JBL ni Bose or okyo [emoji95]
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Nafahamu ilo ila ukisikiliza vizuri JBL sound yake ni deep and clearity so amazingZipo mkuu wala hufiki huko kwa Bose. Ziko sound zinaenda mstari na JBL sema mkiambiwa mtabishana hilo linabaki stoo tu.
Yeah JBL wako njema sana unajua kwanini? They use passive bass radiatiors tech. Unakuwa na active driver na driver ingine ambayo sio active kisha ina resonate mapigo ya ile active driver. Unaweza kupata deep bass hata kwenye speaker size ya chupa ya chai.Nafahamu ilo ila ukisikiliza vizuri JBL sound yake ni deep and clearity so amazing
Nilitest sound ya JBL partbox 310 na Sony heavy music nikasema hapa James na Harman kador walitulia asee
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Hio tech ya passive bass radiators ndio imetumika kwenye ile Kodtec niliowahi kuianzishia uzi humu. Ni inagonga deep bass notes na mchicha flani amazing.Nafahamu ilo ila ukisikiliza vizuri JBL sound yake ni deep and clearity so amazing
Nilitest sound ya JBL partbox 310 na Sony heavy music nikasema hapa James na Harman kador walitulia asee
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Sony wamekuja na hii Subwoofer kama jibu. Burudani utakayoipata humu haina tofauti na JBL soundstage.Nafahamu ilo ila ukisikiliza vizuri JBL sound yake ni deep and clearity so amazing
Nilitest sound ya JBL partbox 310 na Sony heavy music nikasema hapa James na Harman kador walitulia asee
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Sabufa gani hiyo speaker moja tu ya bass. Mbona zile za mchicha mbili zinakuaga pembeni zisioni hapo.Sony wamekuja na hii Subwoofer kama jibu. Burudani utakayoipata humu haina tofauti na JBL soundstage.
View attachment 2726997
Bei yake inazidi 20k?Hizi kama hereni jau zisikubali,cheki mzigo huu ukivaa unavutia ukienda nazi ukweni ndio kabisa inaweza kupewa mke bure.View attachment 2726918
Mzigo unanata kwa sikio ,huu kuna hela naisikilizia nikauchukueView attachment 2726922
Yah tech audio Iko juuHio tech ya passive bass radiators ndio imetumika kwenye ile Kodtec niliowahi kuianzishia uzi humu. Ni inagonga deep bass notes na mchicha flani amazing.
Huu mzigo unaenda bei gani? Ila watts zake 300 naona kama ndogo hiviSony wamekuja na hii Subwoofer kama jibu. Burudani utakayoipata humu haina tofauti na JBL soundstage.
View attachment 2726997