Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Wireless za Redmi Tsh ngapi ,inakaa na chaji muda gani vipi kuhusu mdundo na ubora ?
Nilinunua AliExpress pamoja na shipping around 160k. Kuhusu ubora wa Sound ni kama unaulizia harufu ya Samaki Magogoni Mkuu🤣, Ni Redmi Buds 4 Pro.
 
Mnakosa sana utamu,

Kuna siku nilikua na malaya mmoja home akawa na hizo earbuds na iphone yake anajishau tu baada ya game.

Nikalala zangu asbh naenda jogging ile narudi ndo akaona nmevaa nuratrue, ile kuzitoa akaomba kujaribu sababu hata shape yake ni unique. Kujaribu si kaanza kunililia nimuachie nikasema hapana, mara ohh usinilipe niachie tu hizi nikasema no, kwanza K ya 50k ila nuratrue nlinunua kwa almost laki nne za kibongo (usd 180 by then)

Ni brand fln utaikuta kwa elites tu
Duuuh mtaji kabisa huo.
 
Back
Top Bottom