Riff nilinunua mwaka jana mwezi wa 3 dukani kwa mshkaji 40k ila mpaka sasa ina uhakika wa kupiga zaidi ya masaa 5 bila kurudisha kwenye case yake
Freepods 4 nimechukua mwaka huu mwezi wa 7 100k mwanzoni nakula masaa 7 non stop case yake unaweza rudia kucharge zaidi ya mara tano na isiwe imeisha
Oraimo freepods Lite..
Nimechukua tarehe 15 mwezi huu hizi kidogo zinaumiza masikio kuliko hizo juu hapo na hata sound yake inareflect maana ya neno lite but ni valye for money bass nzuri hasa ukiunganisha na app yao HD voice call charge zaid ya masaa 7 bila kurudisha kwenye case na ukiwa unasikiliza mziki
Bei 25k tu
Toka nichukue Riff nilijiapiza nitatest bidhaa yoyote ile ya oraimo bluetooth earbuds sababu nna uhakika na quality yao na kuepukana na maswala ya kupata earbuds fake