Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Mimi tokea nianze kutumia pods nimeacha ramsi mawaya sasa hivi mawaya naona uzito kuvaa hata ziwe na Quality ya dunia ,wire rahisi kuharibika ukijichanganya kidogo basi zimekufa na inaweza kunasia mahali kuinuka zinakatika ndio maana nimeacha sasa.
Hata mm nazikubali hizo wireless ila tatzo ni base
 
Weka Bei na muda wa Kukaa na chaji .
Riff nilinunua mwaka jana mwezi wa 3 dukani kwa mshkaji 40k ila mpaka sasa ina uhakika wa kupiga zaidi ya masaa 5 bila kurudisha kwenye case yake

Freepods 4 nimechukua mwaka huu mwezi wa 7 100k mwanzoni nakula masaa 7 non stop case yake unaweza rudia kucharge zaidi ya mara tano na isiwe imeisha

Oraimo freepods Lite..
Nimechukua tarehe 15 mwezi huu hizi kidogo zinaumiza masikio kuliko hizo juu hapo na hata sound yake inareflect maana ya neno lite but ni valye for money bass nzuri hasa ukiunganisha na app yao HD voice call charge zaid ya masaa 7 bila kurudisha kwenye case na ukiwa unasikiliza mziki
Bei 25k tu
Toka nichukue Riff nilijiapiza nitatest bidhaa yoyote ile ya oraimo bluetooth earbuds sababu nna uhakika na quality yao na kuepukana na maswala ya kupata earbuds fake
 
Good ,ila siwezi kuchukua pods kuzidi 25K labda niwe na mapesa kama ya Bakhresa.
 
Mbna hizo mnazosema zina mdundo ..kuna jamaa yangu anazo hiyo freepods 4 na haina ule mdundo ninaotaka

Unatumia simu aina gani ndugu yangu, kwangu mimi naona products za apple hasa simu uki connect hata kwenye music theater mziki wake unakuwa na quality nzuri hadi base tofouti na hizi android..
 
Mbna hizo mnazosema zina mdundo ..kuna jamaa yangu anazo hiyo freepods 4 na haina ule mdundo ninaotaka
Anatumia music player gan!!? Na wewe unataka mdundo wa aina gani maana kiukweli katika swala la mdundo hata leo hii nikikukabidhi oraimo riffs tu za mwaka jana tutest utaamini
 
Nikipata hela Ninunue tu maheadphone orijino yale ya JBL niwe nasikilizia ndani gheto...yale base yake sio poa
Base yake dunia nyngne
Mziki wake hamna mfano
Kuna jamaa mtaani amekuja na JBL ameshaitumia anataka aniuzie 15K ipo bomba ina bonge la jumba linaonyesha mpk asilimia ya chaji , capacity ya power bank yake ni kubwa vilevile nasikilizia nichukue .
 
Anafanya kazi kwenye kampuni ya Oraimo ..ana product nyingi za mziki ..yeye ni supervisor anasimamia Mwanza nzima
Labda mkuu, ila kwenye swala la base ungeniambia freepods lite sawa ila hizo nilizokutajia zipo vizuri sana sidhani kama kuna wapinzani wenye similar price wenye ubora kama huo
 
Back
Top Bottom