Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

Ngoja nijichange nikachukue huo mzigo 40k niunge kwenye kahuawei kangu
Nimechukua hii ibwana sijajutiaa mziki mzuriii charge masaa 7 bila case na masaa 24 na case yake...nimechukua kwa 65000 wala sijuti
IMG_20230823_140535.jpg


Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Kipimo cha fake kipo kwenye kukaa na charge ...kadri inavyozidi kuwa og zaidi ndio masaa zaidi ya kukaa na charge yanaongezeka
Nilikuwa nayo kma hiyo nilinunua kwa mtu used buku 7 mpya nikaulizia ni buku 15 ,niliyokuwa nayo charge ilikuwa inakaa masaa matatu nikaiuza saaa nina hii Pro 6
DSC_0011.JPG
 
Kipimo cha fake kipo kwenye kukaa na charge ...kadri inavyozidi kuwa og zaidi ndio masaa zaidi ya kukaa na charge yanaongezeka
kama umechukua first au second copy ambazo zinakaa na chaji vizuri sio maa mawili hapo vizuri maana nimewahi kumkuta jamaa anazo kama hizo alizisifu Kukaa na chaji muda mrefu wakati yangu ilikuwa masaa 2.

Brand za vipira kama ulizopost(jina nimelisahau) ni Infinix au Tecno katika ulimwengu wa Earpods maana kwa utafiti wangu katika kila watu 10 wenye Earpods 8 au 7 wanatumia hizo ndio maana copy na fake zake zimekuwa nyingi hizo hata kwa wamachinga wa mitaani wanatembeza hivyo inahitaji umakini ili usipigwe ,kwenye suala la sound wako vizuri base imenyooka.
 
15k unapata earphone nzuri tu za wire ..
Inategemea na choice yako mm napenda mziki wa base sana
Mimi tokea nianze kutumia pods nimeacha ramsi mawaya sasa hivi mawaya naona uzito kuvaa hata ziwe na Quality ya dunia ,wire rahisi kuharibika ukijichanganya kidogo basi zimekufa na inaweza kunasia mahali kuinuka zinakatika ndio maana nimeacha sasa.
 
Back
Top Bottom