adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Weka Bei na muda wa Kukaa na chaji .Oraimo ni shughuli wazee hapa ndani nina
Riff
Freepods 4
Freepods lite
Ni mwendo wa kula heavy quality sound kwenda mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka Bei na muda wa Kukaa na chaji .Oraimo ni shughuli wazee hapa ndani nina
Riff
Freepods 4
Freepods lite
Ni mwendo wa kula heavy quality sound kwenda mbele
Hata mm nazikubali hizo wireless ila tatzo ni baseMimi tokea nianze kutumia pods nimeacha ramsi mawaya sasa hivi mawaya naona uzito kuvaa hata ziwe na Quality ya dunia ,wire rahisi kuharibika ukijichanganya kidogo basi zimekufa na inaweza kunasia mahali kuinuka zinakatika ndio maana nimeacha sasa.
Kwa vile mimi sio mpenzi wa miziki base sio kitu mimi muhimu sound iwe na quality nzuri tu na chaji iwe inakaa muda mrefu kidogo.Hata mm nazikubali hizo wireless ila tatzo ni base
Kwa hpo kwako ni sawa kbsaKwa vile mimi sio mpenzi wa miziki base sio kitu mimi muhimu sound iwe na quality nzuri tu na chaji iwe inakaa muda mrefu kidogo.
Hapo sasa unaweza nishawishi kidogoHii base yake ipo safii kabisa mzee nishatumia kama mbili hivi hii ipo tofautii mzee
Sent from my LYA-AL10 using JamiiForums mobile app
Oraimo ni shughuli wazee hapa ndani nina
Riff
Freepods 4
Freepods lite
Ni mwendo wa kula heavy quality sound kwenda mbele
Riff nilinunua mwaka jana mwezi wa 3 dukani kwa mshkaji 40k ila mpaka sasa ina uhakika wa kupiga zaidi ya masaa 5 bila kurudisha kwenye case yakeWeka Bei na muda wa Kukaa na chaji .
Mbna hizo mnazosema zina mdundo ..kuna jamaa yangu anazo hiyo freepods 4 na haina ule mdundo ninaotakaNina freepods 3 zina mdundo balaa, ila naskia hiyo Freepods 4 ni hatari nyingine
Nataka nochukue na hiyo freepods 3 nilienda dukani kwa jamaa nilikosa maana nilikuwa chuo muda huo😂😂Nina freepods 3 zina mdundo balaa, ila naskia hiyo Freepods 4 ni hatari nyingine
Good ,ila siwezi kuchukua pods kuzidi 25K labda niwe na mapesa kama ya Bakhresa.Riff nilinunua mwaka jana mwezi wa 3 dukani kwa mshkaji 40k ila mpaka sasa ina uhakika wa kupiga zaidi ya masaa 5 bila kurudisha kwenye case yake
Freepods 4 nimechukua mwaka huu mwezi wa 7 100k mwanzoni nakula masaa 7 non stop case yake unaweza rudia kucharge zaidi ya mara tano na isiwe imeisha
Oraimo freepods Lite..
Nimechukua tarehe 15 mwezi huu hizi kidogo zinaumiza masikio kuliko hizo juu hapo na hata sound yake inareflect maana ya neno lite but ni valye for money bass nzuri hasa ukiunganisha na app yao HD voice call charge zaid ya masaa 7 bila kurudisha kwenye case na ukiwa unasikiliza mziki
Bei 25k tu
Toka nichukue Riff nilijiapiza nitatest bidhaa yoyote ile ya oraimo bluetooth earbuds sababu nna uhakika na quality yao na kuepukana na maswala ya kupata earbuds fake
Mbna hizo mnazosema zina mdundo ..kuna jamaa yangu anazo hiyo freepods 4 na haina ule mdundo ninaotaka
Anatumia music player gan!!? Na wewe unataka mdundo wa aina gani maana kiukweli katika swala la mdundo hata leo hii nikikukabidhi oraimo riffs tu za mwaka jana tutest utaaminiMbna hizo mnazosema zina mdundo ..kuna jamaa yangu anazo hiyo freepods 4 na haina ule mdundo ninaotaka
Samahani mkuu Unakunywa pombe!!?Good ,ila siwezi kuchukua pods kuzidi 25K labda niwe na mapesa kama ya Bakhresa.
Yeye ana iphone ndio nilitumia kusikilizia kwakeUnatumia simu aina gani ndugu yangu, kwangu mimi naona products za apple hasa simu uki connect hata kwenye music theater mziki wake unakuwa na quality nzuri hadi base tofouti na hizi android..
Sijawahi tokea nizaliwe.Samahani mkuu Unakunywa pombe!!?
Anafanya kazi kwenye kampuni ya Oraimo ..ana product nyingi za mziki ..yeye ni supervisor anasimamia Mwanza nzimaAnatumia music player gan!!? Na wewe unataka mdundo wa aina gani maana kiukweli katika swala la mdundo hata leo hii nikikukabidhi oraimo riffs tu za mwaka jana tutest utaamini
Nilitaka nitolee mfano hapo mimi kwenye simu na bluetooth devices ndo starehe yangu ilipo najua hata wewe kuna sehemu unapigika sana kumwaga hela 😁😁Sijawahi tokea nizaliwe.
Kuna jamaa mtaani amekuja na JBL ameshaitumia anataka aniuzie 15K ipo bomba ina bonge la jumba linaonyesha mpk asilimia ya chaji , capacity ya power bank yake ni kubwa vilevile nasikilizia nichukue .Nikipata hela Ninunue tu maheadphone orijino yale ya JBL niwe nasikilizia ndani gheto...yale base yake sio poa
Base yake dunia nyngne
Mziki wake hamna mfano
Labda mkuu, ila kwenye swala la base ungeniambia freepods lite sawa ila hizo nilizokutajia zipo vizuri sana sidhani kama kuna wapinzani wenye similar price wenye ubora kama huoAnafanya kazi kwenye kampuni ya Oraimo ..ana product nyingi za mziki ..yeye ni supervisor anasimamia Mwanza nzima