Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Kama hayo ndio maisha yako upo busy hadi unashindwa kupokea simu why utoe milioni kununua simu?
Wapuuzi Sana,They cant be serious! Eti betri ni 1821 mAh? Hivi hawa Apple wanataka turudi zama za Power Bank au? Watu wanacheza na 4000+ mAh eti mtu arudi nyuma tena -3000. Watanunuliana wenyewe.
kuna mwamba yeye humwambii kitu na simu za infinix[emoji23][emoji23][emoji23].
Wapuuzi Sana,
Binafsi nimehamia infinix sababu ya BATTERY CAPACITY.
Nina dude Lina 5000mAh, hata ukiwa na 5% unaweza kuwasha data ukifanya yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama hutajali nitajie model ya hio ya 5000mAh, maana hapa nina la 4000mAh, nawaacha wanaoshoboka na [emoji519][emoji336]Wapuuzi Sana,
Binafsi nimehamia infinix sababu ya BATTERY CAPACITY.
Nina dude Lina 5000mAh, hata ukiwa na 5% unaweza kuwasha data ukifanya yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo mengine yanasikitisha sana hasa simu nyingi kudanganya capacity ya battery [emoji367] na rafiki yangu anatumia huawei p20 pro battery capacity yake ni 4000mah na mimi natumia IPhone x battery capacity 2716mah lakini chaji yake inaisha kabla yangu
Sent using IPhone X
Hio ni budget highend/flagship
Kuna simu ni lowend, midrange, upper midrange, highend etc.
Unaweza ukauziwa lowend 300,000 ukaona bei rahisi na ukauziwa highend laki 9 ukaona ghali, ila kiuhalisia highend laki 9 umeipata bei rahisi na lowend laki 3 inawezekana umepigwa.
Infinix HOT 8Mkuu kama hutajali nitajie model ya hio ya 5000mAh, maana hapa nina la 4000mAh, nawaacha wanaoshoboka na [emoji519][emoji336]
"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sijui hata nifanyaje,nimechoka na watu wa hivi aisee.
Optimization ndo uchawi wa kila kitu.Wapuuzi Sana,
Binafsi nimehamia infinix sababu ya BATTERY CAPACITY.
Nina dude Lina 5000mAh, hata ukiwa na 5% unaweza kuwasha data ukifanya yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na matumizi binafsi.Optimization ndo uchawi wa kila kitu.
Katika flagships zinazotolewa na makampuni makubwa, iphone anafanya vizuri kwenye simu kukaa na chaji.
Usikariri namba, unaweza ukawa na simu yenye battery ya 10,000 mAh lakini mwenye 2500 mAh akakaa na chaji muda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi Sana,
Binafsi nimehamia infinix sababu ya BATTERY CAPACITY.
Nina dude Lina 5000mAh, hata ukiwa na 5% unaweza kuwasha data ukifanya yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Optimization ndo uchawi wa kila kitu.
Katika flagships zinazotolewa na makampuni makubwa, iphone anafanya vizuri kwenye simu kukaa na chaji.
Usikariri namba, unaweza ukawa na simu yenye battery ya 10,000 mAh lakini mwenye 2500 mAh akakaa na chaji muda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.
Unataka ununue design ya XS Pro Max kwa $399?
Kuna trade off nyingi kwa hiyo bei ikiwemo na display na design.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nimemkumbuka yule jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]sijui hata nifanyaje,nimechoka na watu wa hivi aisee.
yupo mwingine hapa aliletewa zawadi a50,akagawa akanunua tecno[emoji3063][emoji3063][emoji3063]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina muhuni sana kwy brand zake anapunguza vitu vingi sana ktk bidhaa zake kuanzia RAM, MEMORY na SPEEDKuna mambo mengine yanasikitisha sana hasa simu nyingi kudanganya capacity ya battery [emoji367] na rafiki yangu anatumia huawei p20 pro battery capacity yake ni 4000mah na mimi natumia IPhone x battery capacity 2716mah lakini chaji yake inaisha kabla yangu
Sent using IPhone X
Mchina muhuni sana kwy brand zake anapunguza vitu vingi sana ktk bidhaa zake kuanzia RAM, MEMORY na SPEED
Sent using Jamii Forums mobile app