Apple waja na iphone ya bei nafuu iphone SE (2020)

Kuna mambo mengine yanasikitisha sana hasa simu nyingi kudanganya capacity ya battery [emoji367] na rafiki yangu anatumia huawei p20 pro battery capacity yake ni 4000mah na mimi natumia IPhone x battery capacity 2716mah lakini chaji yake inaisha kabla yangu

Sent using IPhone X
 
They cant be serious! Eti betri ni 1821 mAh? Hivi hawa Apple wanataka turudi zama za Power Bank au? Watu wanacheza na 4000+ mAh eti mtu arudi nyuma tena -3000. Watanunuliana wenyewe.
Wapuuzi Sana,
Binafsi nimehamia infinix sababu ya BATTERY CAPACITY.

Nina dude Lina 5000mAh, hata ukiwa na 5% unaweza kuwasha data ukifanya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama hutajali nitajie model ya hio ya 5000mAh, maana hapa nina la 4000mAh, nawaacha wanaoshoboka na [emoji519][emoji336]

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Wengi tumekariri mkuu
Kuna mambo mengine yanasikitisha sana hasa simu nyingi kudanganya capacity ya battery [emoji367] na rafiki yangu anatumia huawei p20 pro battery capacity yake ni 4000mah na mimi natumia IPhone x battery capacity 2716mah lakini chaji yake inaisha kabla yangu

Sent using IPhone X

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu kukuelewa
Hio ni budget highend/flagship

Kuna simu ni lowend, midrange, upper midrange, highend etc.

Unaweza ukauziwa lowend 300,000 ukaona bei rahisi na ukauziwa highend laki 9 ukaona ghali, ila kiuhalisia highend laki 9 umeipata bei rahisi na lowend laki 3 inawezekana umepigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapuuzi Sana,
Binafsi nimehamia infinix sababu ya BATTERY CAPACITY.

Nina dude Lina 5000mAh, hata ukiwa na 5% unaweza kuwasha data ukifanya yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Optimization ndo uchawi wa kila kitu.

Katika flagships zinazotolewa na makampuni makubwa, iphone anafanya vizuri kwenye simu kukaa na chaji.

Usikariri namba, unaweza ukawa na simu yenye battery ya 10,000 mAh lakini mwenye 2500 mAh akakaa na chaji muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndo wazee wa kupagawa na michina ya 80 megapixel
Optimization ndo uchawi wa kila kitu.

Katika flagships zinazotolewa na makampuni makubwa, iphone anafanya vizuri kwenye simu kukaa na chaji.

Usikariri namba, unaweza ukawa na simu yenye battery ya 10,000 mAh lakini mwenye 2500 mAh akakaa na chaji muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo mengine yanasikitisha sana hasa simu nyingi kudanganya capacity ya battery [emoji367] na rafiki yangu anatumia huawei p20 pro battery capacity yake ni 4000mah na mimi natumia IPhone x battery capacity 2716mah lakini chaji yake inaisha kabla yangu

Sent using IPhone X
Mchina muhuni sana kwy brand zake anapunguza vitu vingi sana ktk bidhaa zake kuanzia RAM, MEMORY na SPEED

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom