Kuweka record sawa , hii si mara ya kwanza Apple kutoa “cheap” product kwa specs kubwa . SE1 ilikuwa ni zaidi ya iPhone 6 na 6 plus na waliuza kwa 400 usd , kwa wanaokumbuka iPhone XR (one of the best selling mpaka sasa) iPhone 5c Pia ilikuwa cheap ikifuatia kwa 5s . Hapo sijaongelea ipads za mtindo huo .
Huu mtindo wa hizi products za namna hii upo muda mrefu na huwa wanatoa March (mwaka huu imekuwa april sababu ya corona)
Nachoona hapa ni watu kutojua vitu na kuleta habari za hisia hisia.
Kwa wale mnaodhani iPhone 8 ni laki 7 sijui iPhone 7 ni laki nane, hizo bei ni zile simu mnaita full box, yaan refurbished na kwa uzoefu wangu ndo zimejaa mjini , hizi refurb zinaonekana mpya machoni kwa mtu asiyeijua iPhone mpya, zinaisha sana charge kwa sababu zimetumika pamoja na Accesories zake Kama earphones ni za kuokoteza tu siyo zile Apple original (Unahitaji kuijua EarPods original kuweza kutambua hizo Cm kwamba siyo og).
iPhone ina battery capacity ndogo lakini ni moja ya cm zinakaa sana na charge(siongelei iPhone refurb) hii ni kwa Sababu ya balance nzuri kati ya hardware na software yake iOS. Kwa Bahati mbaya TZ tunatumia refurb ndo maana tunaona iphone zinaisha charge na screen zinakuwa inferior , very few wananunua mpya Ml city, very few.
Turudi kwenye mada,kwa ujumla iphone SE 2 huwezi ilinganisha na iPhone 8 au 8 plus. Kwa mbali labda IPhone X, lakini A13 Bionic si mchezo, flagship kibao zinasanda kwa hiyo processor na hii ni assurance ya continued support kama tunavyoona iphone SE1 bado inapata update lakini 6 na 6 plus hazipati “processor inachangia)
Kuhusu design yaani kutokuwa na notch, FaceID si tatizo kwa sababu Kuwa watu bado wanapenda fingerprint na Bezel phone (hapa naangalia iPhone 8 ilivyotoka na mauzo yake yalikuwa juu na hapo IPhone X ilikuwepo)
Conclusion: It’s a superb phone kwa kuzingatia combination iliyofanyika. Price ,Processor ,camera , software, wireless charging, fingerprint, na support ya muda mrefu.
Sent from my iPhone using JamiiForums