Apple waja na iphone ya bei nafuu iphone SE (2020)

Apple waja na iphone ya bei nafuu iphone SE (2020)

Unazungumziaje battery capacity inaonekana ni ndogo sana then inatumia most powerful Soc in the market...?

Samsung Galaxy[emoji93]
Mzee Mi natumia iPhone 11 Pro Max hata camera yake ni 12MP wakati akina Huawei wana simu za 50MP😂😂😂😂 usiogope hilo
 
Utakuta simu ina camera nyingi lakini ukipiga picha unatamani kulia [emoji851]low quality

Sent using IPhone X
Nimejjanzishia kampeni ya kuacha kutumia brand za China. Nimeshaanza na simu nipo kwa Nokia nikitoka Nokia naingia Samsung mobile phones au IPhone. Masimu ya kichina Yana uhongo mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ni budget highend/flagship

Kuna simu ni lowend, midrange, upper midrange, highend etc.

Unaweza ukauziwa lowend 300,000 ukaona bei rahisi na ukauziwa highend laki 9 ukaona ghali, ila kiuhalisia highend laki 9 umeipata bei rahisi na lowend laki 3 inawezekana umepigwa.

Na ndo kinachotokea kila siku wabongo wanapigwa kwenye hizi Cm za bei ndogo , hazi last hata miezi 6 zishaanza kusumbua. Mchina anacheza na design tu ya juu ila functionality ni majanga.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimejjanzishia kampeni ya kuacha kutumia brand za China. Nimeshaanza na simu nipo kwa Nokia nikitoka Nokia naingia Samsung mobile phones au IPhone. Masimu ya kichina Yana uhongo mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli mkuu ni simu ambazo zinazidi kuongeza umaskini,unanua simu baada ya mwezi mafundi simu wote ushawafahamu,mara simu inastaki mara chaji haingii mara berti mbovu mara simu inakwambia full memory wakati hata picha 20 hazijafika ni majanga

Sent using IPhone X
 
Nimejjanzishia kampeni ya kuacha kutumia brand za China. Nimeshaanza na simu nipo kwa Nokia nikitoka Nokia naingia Samsung mobile phones au IPhone. Masimu ya kichina Yana uhongo mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichofanya hapo ni sawa nakuacha kutumia mafuta ya nazi na kuamua kunywa madafu yake, hapo hapo unatamba mi nimeacha kutumia nazi siku hizi!

Haujui hata nokia siku hizi ni mali ya mchina?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Mi natumia iPhone 11 Pro Max hata camera yake ni 12MP wakati akina Huawei wana simu za 50MP[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiogope hilo
Troll JF

Kibarua cha kumsifu na kumtetea jiwe kilikushinda mzee baba

Seek respect, not attention. It lasts longer
 
Hawa Apple sijui huwa wanawaza nini tu!!.
thefactclub-20200423-0001.jpg
 
Hii kasumba ya namba za simu za kichina inatusumbua sana
 
Back
Top Bottom