Apple wamezindua socks kwaajili ya iPhone yako kwa Tsh 560,000/= tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Yap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji.
IMG_2212.jpeg

Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako yoyote kuanzia mpya 17 series kurudi nyuma.
IMG_2211.jpeg

Kwa kushirikiana na designer wa Japan, Issey Miyake, wamekuja na hii socks ambayo imeshonwa kwa utaalamu na nyuzi za hali ya juu blah blah blah blah…
IMG_2213.jpeg

Karibuni matajiri.

Source: www.apple.com

IMG_2214.jpeg
 
Yap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji.
View attachment 3502435
Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako yoyote kuanzia mpya 17 series kurudi nyuma.
View attachment 3502436
Kwa kushirikiana na designer wa Japan, Issey Miyake, wamekuja na hii socks ambayo imeshonwa kwa utaalamu na nyuzi za hali ya juu blah blah blah blah…
View attachment 3502437
Karibuni matajiri.

Source: www.apple.com

View attachment 3502438
***** babaha, expensive kuliko hata simu, iphone buana japokuwa mtumiaji ila kuna mambo wanafanya sio poa

Ila matajiri na watu wa mitindo, here we go
 
Huu ujambazi mkuu
 
Wametoka sasa kwenye innovation wameingia kwenye fashion,..

Mkuu tuongee serious,tangu kifo Cha Steve jobs,Kuna technology yeyote mpya ambayo apple wameleta mbele ya Android??

Maana Huwa naona ikitoka tech mpya inaanza Android then after 3 or 2 years ndio apple Wana introduce..

I'm impressed with Airtag but sijui why Apple hawazitangazi
 
Tim Cook sio mtu wa products. Yaani hayupo interested na product anachojali shareholders.

Kwa upande wangu, Apple Watch ndio product pekee ya Apple uw anajivunia.
 
Kuna namna naona apple wakiwa kwenye vikao vyao, wanawatambulisha wateja wao kwa jina la wapumbavu.

Yani badala ya kusema hawa wateja, wao wanasema hawa wapumbavu
 
kuna majaribio mengi apple ilishindwa na ona ili wanaenda kuweka kwenye kumbu zao za biashara mengine kama sio mfatiliaji wa makampuni unaweza kuingia king samua
 
Back
Top Bottom