Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
NaamHahah Kwa hiyo Sisi ni wapumbavu??
NaamHahah Kwa hiyo Sisi ni wapumbavu??
Mkuu hapana bwana, apple wanatuheshim mnoo Sisi wateja wao.Naam
😃😃 kwanini sasa ukawaza hayo MpwaNlivosoma heading nlijua tu utakua umesema chochote kitu.
Haya kanunue soksi ya 500k 😂Mkuu hapana bwana, apple wanatuheshim mnoo Sisi wateja wao.
Sisi ndio wafalme.
Nyinyi mnaotumia itel ndio mnapaswq muitwe hivyo
Ni vile tu kuna mada ukiona unajua tu humu simkosi flani😃😃 kwanini sasa ukawaza hayo Mpwa
Humu tu 😀😀Ni vile tu kuna mada ukiona unajua tu humu simkosi flani