***** babaha, expensive kuliko hata simu, iphone buana japokuwa mtumiaji ila kuna mambo wanafanya sio poaYap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji.
View attachment 3502435
Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako yoyote kuanzia mpya 17 series kurudi nyuma.
View attachment 3502436
Kwa kushirikiana na designer wa Japan, Issey Miyake, wamekuja na hii socks ambayo imeshonwa kwa utaalamu na nyuzi za hali ya juu blah blah blah blahβ¦
View attachment 3502437
Karibuni matajiri.
Source: www.apple.com
View attachment 3502438
Nilitaka nikuite dyadyaa. πππππIlaa ππ
Na hawa vibaka wa tatu mzuka upite na kisoksi chako wakukate mkono
Na kuna wadau wamesha order ah *****πππ Premium Product. Innovation.
Tim Cook sio mtu wa products. Yaani hayupo interested na product anachojali shareholders.Wametoka sasa kwenye innovation wameingia kwenye fashion,..
Mkuu tuongee serious,tangu kifo Cha Steve jobs,Kuna technology yeyote mpya ambayo apple wameleta mbele ya Android??
Maana Huwa naona ikitoka tech mpya inaanza Android then after 3 or 2 years ndio apple Wana introduce..
I'm impressed with Airtag but sijui why Apple hawazitangazi
Kwani unamchukuliaje π€£π€£π€£Hapitwi huyo utaona amekanunua kapink.
Unataka kusemaje Cocah ππNilitaka nikuite dyadyaa. πππππ
Hahah Kwa hiyo Sisi ni wapumbavu??Kuna namna naona apple wakiwa kwenye vikao vyao, wanawatambulisha wateja wao kwa jina la wapumbavu.
Yani badala ya kusema hawa wateja, wao wanasema hawa wapumbavu
Nlivosoma heading nlijua tu utakua umesema chochote kitu.Ilaa ππ
Na hawa vibaka wa tatu mzuka upite na kisoksi chako wakukate mkono