NaamHahah Kwa hiyo Sisi ni wapumbavu??
Mkuu hapana bwana, apple wanatuheshim mnoo Sisi wateja wao.Naam
ππ kwanini sasa ukawaza hayo MpwaNlivosoma heading nlijua tu utakua umesema chochote kitu.
Haya kanunue soksi ya 500k πMkuu hapana bwana, apple wanatuheshim mnoo Sisi wateja wao.
Sisi ndio wafalme.
Nyinyi mnaotumia itel ndio mnapaswq muitwe hivyo
Ni vile tu kuna mada ukiona unajua tu humu simkosi flaniππ kwanini sasa ukawaza hayo Mpwa
Humu tu ππNi vile tu kuna mada ukiona unajua tu humu simkosi flani