Apple wanarudi walipotoka Android

Apple ni gereza la ufahari, mtumiaji wake ni mfungwa anayeringa kuishi kifahari. Ni lazima Apple arudi kufanana na android ili aendelee kubakia sokoni.
Kipi unachokifanya na Tecno yako wa Apple hawezi kukifanya?
 
Ngoja nijichange nije nunua 11pro
 
mnafananisha apple na vitaka taka vyenu hivyo?
hata kama Rava4 inawatumiaji wengi huwezi ifananisha na kitu Tourage …….
 
Safi kabisa Mkuu, unajua tatizo kubwa humu Jamvini wengi wanaojifanya wanaiponda bidhaa za apple na IOS ni wale ambao hawajawahi kutumia bidhaa za apple au hawajui kutumia.
usiwe na mtazamo huu.

labda nikuulize huwa unaangalia reviews za hao jamaa kwenye hiyo video uliyowekewa,nakuongezea nyingine kamtizame mrwhotheboss,kama una bando.
hao ni watu wanaoupewa simu au wananunua kwa ajiri ya kuzilinganisha tu,yaani sio kuuzia sura na selfie kama sisi.

atakwambia kabisa apple katisha kwenye bettery,na video 2022,ila camera,design,ubora wa kioo kazingua.
 
mnafananisha apple na vitaka taka vyenu hivyo?
hata kama Rava4 inawatumiaji wengi huwezi ifananisha na kitu Tourage …….
usitaje aina ya gari taja kampuni nzima kama ambavyo hukutaja toyota ila rav4,huko toyota kuna LCv8 ambayo hiyo tourage ni toroli.

apple anatoa simu bora,pc,ipad nk ila si kwamba hakuna wanaume wengine.
 
Ni mfuatiliaji sana Mkuu na pia natumia bidhaa zote hizo yaani android na IOS, unajua tatizo kubwa wengi wasilolijua ni kwamba IOS na Android haziwezi kufanana, hiyo moja! Pili ni kwamba Android ni simu nzuri sana kwa watu ambao ni watundu na simu na wanajua simu sababu inawapa opportunity ya kumanouver vitu mbalimbali lkn IOs haikutengenezwa kwa ajili hiyo, kama wewe ni mtu unaependa kuchezeachezea simu mara sijui kubadilisha Maandishi, au Rangi ya Screen au kudownload Third Party Apps za ajabuajabu basi IOs sio simu ya kununua haikufai na hutoipenda. IOs ni more secure compared to android hili halina ubishi.
 
Tupige kelele zote ila iOS wanamove slow but wanakuja na better implementation angalia focus mode fananisha na do not disturb
 
si kwamba haikutengenezwa kwa ajiri hiyo sema wao apple hawaoni kama ni muhimu kukuwekea mteja huduma hizo.

kkutwa hapa ios 16 inakuja na option ya kubadiri font homescreen,miaka 10 baada ya android kuja na option hizo.

kitu kinakosa maana endapo tu apple watakipuuza ila wakikishupali basi kinakuwa cha maana.
 
Mashabiki wa apple wanafurahisha sana, hawakawii kusema apple anaboresha zaidi. Walikuwa wanaiponda always on display lakini baada ya hii IOS 16 tujiandae kuona inasifiwa kuwa ni bora kuliko ya android.
 
Tupige kelele zote ila iOS wanamove slow but wanakuja na better implementation angalia focus mode fananisha na do not disturb
na vinakuwa vya ajabu kwao wenyewe wateja wa apple,wateja wa android hawaoni kipya.

subiri underdisplay fingerprint itakuja hata 2025 halafu akwambie kaboresha ukiweka kidole tofauti hata simu haishtuki.
 
Hapo kwa tecno kuna kusikiliza fm radio bila kuchomeka headphones, ambapo hii feature itakuja Apple tukipata Rais wa kutoka upinzani😅😅😀
mara ya kwanza naishika ndroid yangu ya kwanza kutokea blackberry 2014 kwanza nikashangaa,hawa jamaa mbona kama mtu amepita road akawa anaangusha misimbazi makusudi,maana apps ni kibao halafu ni free.
kule mpaka toch ilikuwa una install halafu unapewa trial😂😂,siku mbili leta hela.

sasa apple wanafanya haya si kwa kupenda wanajua mambo yanawezapinduka within a year wakijishaua.
 
Umesahau hata Android nao wanajitahidi kwenda Apple alikotoka, especially kwenye suala la security, zamani kuingiza custom android ilikuwa easy kama unanawa vile siku hizi uwe geeks kweli😂😂😂
 
Apple hawapendi kulipa patent fee so huwachukua mda kutengeneza cha kwao
Mfano dark mode imewezekana mwaka huu, pixel binning pia ila syo kwamba walifel kutengeneza 108mp kama cm zingne
 
Android sikuzote si tam kutumia, ni kama vile wako kwenye marobort
iphone 6 ni tam kutumia kulko ata s22 kwa smoothness
Japo tunanunua simu zaidi ya milion 1 na nusu ila simu pekee yenye hadhi ya bei hyo ni iphone pekee
Sitakaa nitumie iphone.....kwangu huo ni uchafu....au niseme gereza lenye sifa za kijinga! Hela nyingi halafu hakuna uhuru kabisa zaidi ya jina kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…