BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kampuni ya Apple, imeweka rekodi ya kuwa na thamani kubwa kuliko kampuni za Alphabet (Google), Meta na Amazon - ukizichanganya kwa pamoja.
Yaani ukichukua Market Cap ya Amazon, Meta na Alphabet kwa pamoja; bado haziifikii kampuni ya Apple.
Apple imefikisha thamani ya dola Trilioni 2.307 siku ya Jumatano; na kuweka historia kuwa ukichukua thamani ya Amazon, Meta na Alphabet zinafikisha thamani ya dola Trilioni 2.306 kwa pamoja.
Ukiambiwa ununue kampuni ya Apple peke yake; au ununue Kampuni za Alphabet, Amazon na Meta kwa pamoja wapi utaweka mpunga wako?
Credit: SwahiliTek