Mi nadhani kwenye sehem kama hiz hekima inaitajika sana,sema kama haujaelewa ueleweshwe bro king okay!ha2tangaziani ujanja af mbona we mwelewa inakuaje???????????
Mi nadhani kwenye sehem kama hiz hekima inaitajika sana,sema kama haujaelewa ueleweshwe bro king okay!ha2tangaziani ujanja af mbona we mwelewa inakuaje???????????
sasa hapo ni facult na sio fakat,jua kwamba utachagua degree program na sio facult...sasa mambo iko hivi nenda kwenye acount yako ya tcu fungua kwenye selected programs then utaona hiyo option!! fanya fasta mana nda hauruhusu..ukikwama tujulishe au wapigie tcu..ila kua mvumilivu maana humu JF unaweza kata hata tamaa ya kusoma...
nawasilisha...