Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani nisaidieni jins gan utaapply kama umechaguliwa fakat ambayo hukuichagua?
Mi nadhani kwenye sehem kama hiz hekima inaitajika sana,sema kama haujaelewa ueleweshwe bro king okay!ha2tangaziani ujanja af mbona we mwelewa inakuaje???????????
sasa hapo ni facult na sio fakat,jua kwamba utachagua degree program na sio facult...sasa mambo iko hivi nenda kwenye acount yako ya tcu fungua kwenye selected programs then utaona hiyo option!! fanya fasta mana nda hauruhusu..ukikwama tujulishe au wapigie tcu..ila kua mvumilivu maana humu JF unaweza kata hata tamaa ya kusoma...jamani nisaidieni jins gan utaapply kama umechaguliwa fakat ambayo hukuichagua?