carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunichora basi.Hatariiiiiii [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio doctor, Kwaiy Majivu natumiaje Sas kavu kavu Au na Maji
I'm on that good kush and alcohol
Kama nyama zimeota sana huwa wanakata.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa sijui nitumie ipi niache ipi..huwa nachanganya tu.
Hivi spray huwa zinanikausha tu mafua lakini kuziba kwa pua kupo palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kama ungekuwa unakosa appetite ningezidi kukuonea huruma sana.Pamoja na yote sijawahi kosa appetite ya kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nibanwe vipi.
Kuna clinic nilienda dkt akawa ananiambia itakuwa rangi zako za kucha hizo zinapelekea tatizo kuendelea nikamwambia hizi rangi nimepaka Jana tu, huna sipaki rangi,akasema itakuwa unakaa Kwenye vumbi, nikamwambia mazingira ninayoishi Ni masafi,akasema mashuka nikamwambia nabadilisha mara3 kwa wiki
Baadaye akanambia ooh usikate hizo nyama.. baadaye anasema Tena wanaoweza kukutibu kukukata Ni Benjamin dodoma,muhimbili na KCMC
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyu dkt angenambia tu yeye hakati.[emoji23][emoji23][emoji23]kama ungekuwa unakosa appetite ningezidi kukuonea huruma sana.
Na vile unaonekana unapenda kula[emoji23][emoji23]
Yaani hizo ant allergies wanazokupa ni supportive management tu kwa lugha rahisi ni matibabu ya kukupunguzia maudhi unayokutana nayo.
Naona option uliyobakiza ni kukata.
Japo unatakiwa kukutana na daktar mara kwa mara upate kujua hali inaendaje na kama kuna ulazima wa surgery
Watakuwa walivyoona tu chizi mmoja kaazisha wakaaamua wauache tu chitchat [emoji3]Ok! Sema wanaangaliaga nani kaanzisha Uzi
Yaani huyo dkt atakayenihurumia akakubali kunikata nitamshukuru sana maana si kwa tabu hiziKama nyama zimeota sana huwa wanakata.
Surgery ni option ya mwisho
Wakishabadili huu mfumo wa kufungua pages kwenye browser watatisha sana....Faida za browser
-Instant notifications
-Alerts pale juu
-Reactions nyingi zaidi
-Urahisi wa kuquote kipande tu cha post
Faida za app
-Dark mode
-Scrolling bila pagination
Natumia app. Scrolling ni muhimu sana kwangu.
Naamini technical team wanafanyia kazi scrolling kwenye browser na soon tutaletewa.
Oooh pole pole
Naona umejisogezea huduma ya umeme kitandani πHizo nasal spray ninazo
Na Jana wamenipa hiyo
Nimezitumia Hadi basiView attachment 1441954
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nlkuwa sijui hiloOk! Sema wanaangaliaga nani kaanzisha Uzi
Vuvuzela ndio nini
Hebu tuisikie[emoji23]
Yaan kiasi kiasi browser inachukua liver yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari njema hizi
NdiyoNaona umejisogezea huduma ya umeme kitandani [emoji3]