Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hela za mchezo namna hiyo natoa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe infinix wakikushtukia watakushtaki au watapunguza ubora wa bidhaa zao ziharibike mapema ili mnunue nyingine
Wakibadili ubora nahamia kwenye simu za promotion zile za sikukuu.
Huwa haziharibiki haraka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app