Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mana baadhi ya app zinajificha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba..?
Tatizo simu yako kama kabati vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa
VN tu sizioni Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππMbona Sijamaliza pale Kaka [emoji38][emoji38][emoji38]
Mambo mengi tuu, wanao-like wanalistiwa pale (unnecessary thing) kwa wanaobrowse, huku Kwenye App ukitaka kufanya huo umbea[emoji38] unabonyeza namba inakuletea List
Ndio lipo linaoneoaka kwenye kila mwanzo wa jukwaa pale juu Wame-Pin Top [emoji2][emoji2][emoji2]
Oooohh Haya Haya Mkuu [emoji3][emoji3]View attachment 1425209
Hiyo picha hapo ni kukanusha ulichosema kuwa kwenye browse huwezi kupata new post na new comments kutokaka majukwaa tofauti.
Yote uliyoyasema browse tunayo na zaidi ikiwa ni pamoja na kushare picha na video km hivyo, kuedit comment, kulike, kidislike, kuwow n.k.
Na niliwahi kusikia nyie wa app hamuwezi kutizama videos
Siunaona sasa ππππChizi Wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubwa Sana yaaniTatizo simu yako kama kabati vile[emoji23][emoji23]
Ila usijali endelea kutafuta utaikuta sehemu imejificha,maana simi yako ni kubwa sana
Kuna mtu aliomba wawekewe opt ya dislike me nikamuoneshea kwa kitendo...nikaona qoute ya mwingine kamwambia dislike hiyo kakupa Depal sema ule Uzi umenipotea.
Kingine Browser hatuwezi kusubscribe
Hatuwezi kumfukunyua mtu kuona nyuzi zake/ comments kama kwenye app
Kina Davet mpo kweli jiko la mkaaOooohh Haya Haya Mkuu [emoji3][emoji3]
.
Navyojua Mimi kabla ya App ilikua hiyo Website so App imekuja as Simplest Method
Ni Kama Jiko la Mkaa na Gesi wote tutapika Lakin kwa njia tofauti [emoji3][emoji3]
Mtuache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siunaona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Features nyingine za simu zenu alafu mnasingizia za Jf kwa browser
Tunateleza Kama nyoka halafu unasema hatuenjoy?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu wa App bwana hamuenjoy ile sanaa ya ufunguaji wa pages
Hiyo nyingine tumewaachia andaeitini[emoji125]Eeh! Haina haja ya kujitesa sindio maana mmerahisishiwa kazi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kubwa Sana yaani
Ilivyokuwa na maajabu sasa ntashangaa zimerudi naziona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au ndo maana kweli nahangaika kutafuta thread kwenye browser maana infinix hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi web ndio jiko la gesi na app ni jiko la mkaa, nimeona malalamiko ya app ndio mengi kuliko ya browserOooohh Haya Haya Mkuu [emoji3][emoji3]
.
Navyojua Mimi kabla ya App ilikua hiyo Website so App imekuja as Simplest Method
Ni Kama Jiko la Mkaa na Gesi wote tutapika Lakin kwa njia tofauti [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtuache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carba pamoja na kuwa timu s bado anatumia App..
Mimi Ni Nani hata nisitumie App?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi mwenyewe nina mashaka sana ndio maana nimekuambia sihamini sana mipira ya kurudi [emoji3]