Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa
VN tu sizioni Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo simu yako kama kabati vile[emoji23][emoji23]

Ila usijali endelea kutafuta utaikuta sehemu imejificha,maana simu yako ni kubwa sana
 
Mbona Sijamaliza pale Kaka [emoji38][emoji38][emoji38]
Mambo mengi tuu, wanao-like wanalistiwa pale (unnecessary thing) kwa wanaobrowse, huku Kwenye App ukitaka kufanya huo umbea[emoji38] unabonyeza namba inakuletea List

Ndio lipo linaoneoaka kwenye kila mwanzo wa jukwaa pale juu Wame-Pin Top [emoji2][emoji2][emoji2]
😂😂😂

Nyie watu wa App bwana hamuenjoy ile sanaa ya ufunguaji wa pages
 
View attachment 1425209
Hiyo picha hapo ni kukanusha ulichosema kuwa kwenye browse huwezi kupata new post na new comments kutokaka majukwaa tofauti.
Yote uliyoyasema browse tunayo na zaidi ikiwa ni pamoja na kushare picha na video km hivyo, kuedit comment, kulike, kidislike, kuwow n.k.
Na niliwahi kusikia nyie wa app hamuwezi kutizama videos
Oooohh Haya Haya Mkuu [emoji3][emoji3]
.
Navyojua Mimi kabla ya App ilikua hiyo Website so App imekuja as Simplest Method
Ni Kama Jiko la Mkaa na Gesi wote tutapika Lakin kwa njia tofauti [emoji3][emoji3]
 
Tatizo simu yako kama kabati vile[emoji23][emoji23]

Ila usijali endelea kutafuta utaikuta sehemu imejificha,maana simi yako ni kubwa sana
Kubwa Sana yaani
Ilivyokuwa na maajabu sasa ntashangaa zimerudi naziona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au ndo maana kweli nahangaika kutafuta thread kwenye browser maana infinix hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu aliomba wawekewe opt ya dislike me nikamuoneshea kwa kitendo...nikaona qoute ya mwingine kamwambia dislike hiyo kakupa Depal sema ule Uzi umenipotea.

Kingine Browser hatuwezi kusubscribe
Hatuwezi kumfukunyua mtu kuona nyuzi zake/ comments kama kwenye app
Screenshot_2020-04-20-23-23-16.png

Mbona ipo kama hivyo, kama kuna mtu huwezi kumuangalia jua ni yeye kazuia watu wasimpekue hata kwenye app hutoweza kumcheki.
Kusubscribe tread huku kinaitwa watch thread, ukiwatch utakuwa unapata notification
 
Kubwa Sana yaani
Ilivyokuwa na maajabu sasa ntashangaa zimerudi naziona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Au ndo maana kweli nahangaika kutafuta thread kwenye browser maana infinix hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi wewe shida yako ni simu na sio browser
 
Oooohh Haya Haya Mkuu [emoji3][emoji3]
.
Navyojua Mimi kabla ya App ilikua hiyo Website so App imekuja as Simplest Method
Ni Kama Jiko la Mkaa na Gesi wote tutapika Lakin kwa njia tofauti [emoji3][emoji3]
Basi web ndio jiko la gesi na app ni jiko la mkaa, nimeona malalamiko ya app ndio mengi kuliko ya browser
 
Mtuache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Carba pamoja na kuwa timu s bado anatumia App..
Mimi Ni Nani hata nisitumie App?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi hiyo browser naona jau sana kuitumia.
Huwa naitumia kwa nyakati maalum na nikimaliza huwa nameza panado maana kichwa huwa kinauma
 
Back
Top Bottom