Application Users Vs Browser Users

Kwani Moderators ndio hao hao mafundi ??[emoji38][emoji38][emoji38]
Sio mafundi ila wana uwezo wa kutoa taarifa sehemu husika na kufanikisha mafundi kufanya yao ndio maana malalamiko yote wanapewa wao kutokana na kwamba watumiaji wa jf hatuwajui mafundi mzee πŸ˜€
 
Mods sijui wanashindwa nini kutatua hili tatizo?
Sio mafundi ila wana uwezo wa kutoa taarifa sehemu husika na kufanikisha mafundi kufanya yao ndio maana malalamiko yote wanapewa wao kutokana na kwamba watumiaji wa jf hatuwajui mafundi mzee [emoji3]
[emoji1]Watoe taarifa Mara ngapi Mkuu kwani tatizo la jana hili ?
Moderator wameshafanya kazi yao ya kutoa taarifa sehemu husika na Mafundi wanalijua kitambo. Ndio Maana wamesema kufikia tarehe moja mei mosi tatizo limeshakua Solved ..Unaposema Mods wanashindwa nini kutatua hili tatizo ? Watatuaje tena Yani Taarifa wahusika si wanayo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nadhani ameongelea kuhusu jana.
Jana jf kwa watumiaji wa App ilikuwa inagoma kufunguka Hadi watu wakaanza kulalamika ndipo wakatoa taarifa.
Taarifa ilitolewa baada ya malalamiko na si kabla.
Hata notification Ni tatizo la muda lakini taarifa ilitolewa baada ya malalamiko.

Ameongelea mods kwa sababu wao ndio waendeshaji wa hii jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…