Application Users Vs Browser Users

Ahsante sana mkuu kwa haya maelezo umemaliza
 
Hivi kule kufungua pages hakuwachoshi??
 
Kwa kweli
Changamoto kubwa kwenye Application ni kuchelewa kwa notification unakuta nmemtukana mtu lakini sioni kajibu nini ili tugombane vuzuri .

Alafu ni kweli tunaotumia app wengi age imesonga kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie pia natumia browser japo app inamwonekano muruwa ila changamoto ndio kama hiyo uliyoitanabaisha.
 
Sawa mkuu, browser ndio kila kitu ✌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…