Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtambo huu.[emoji23]
Kumbe ilinitunzia WhatsApp video za toka mwaka juzi.
Nilikuwa najiuliza mbona inajaa haraka,kumbe imebeba vitu vya miaka na miaka.
Screenshot_20200421-161042.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Hivi hiyo pombe Ina ukali kiasi hicho kweli jamani Hadi mtu anafanya vile??


Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ile inaunguza kuanzia Ulimi, Koo, utumbo mpaka Maini
 
Wacha wee naona GB whatsapp [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mwaka Sasa tangu nimeacha kuitumia gbwatsap

Sasa hizo video nimezibamba juzi.. kwenye gallery sijawahi hata kuziona.

Hii simu hata Mimi mwenyewe siielewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom