Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehehe
Ile siku nilipita kimyakimya..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikawa naona King anatumbua tu macho anashangaa namba

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siamini mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mwaka Sasa tangu nimeacha kuitumia gbwatsap

Sasa hizo video nimezibamba juzi.. kwenye gallery sijawahi hata kuziona.

Hii simu hata Mimi mwenyewe siielewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Kwani ni simu kweli au unatumia Computer? 😀
 
Simu yako inamaajabu sana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mwaka Sasa tangu nimeacha kuitumia gbwatsap

Sasa hizo video nimezibamba juzi.. kwenye gallery sijawahi hata kuziona.

Hii simu hata Mimi mwenyewe siielewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza Bwana.
Usinichukulie poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi hakuna pombe inayonoga Kama grand malt na Mimi nisafishe nyota nijaribu kunywa?
Haiewezekani sijui ladha ya pombe yoyote na uzee wote huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo muulize huyo mdaka chozi ndio mtaalamu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siamini mimi
Haki Tena
Niliona jinsi King anavyomangamanga kutafuta 115904 kwenye page zao za librowser[emoji1787]
Akawa anashangaa huyu kafikaje huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye browser ipo 53,000

Mimi nilienda kwa mwendo wa nyoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namba uliyotaja haikuwepo ila nilirudi kuoekua tu kwa Kasi ya nyoka..maana huku kwenye app tunakimbia tu[emoji3526]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza Bwana.
Usinichukulie poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi hakuna pombe inayonoga Kama grand malt na Mimi nisafishe nyota nijaribu kunywa?
Haiewezekani sijui ladha ya pombe yoyote na uzee wote huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo inaitwa kvant muulize hata ankoo atakwambia[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Haki Tena
Niliona jinsi King anavyomangamanga kutafuta 115904 kwenye page zao za librowser[emoji1787]
Akawa anashangaa huyu kafikaje huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwenye browser ipo 53,000

Mimi nilienda kwa mwendo wa nyoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namba uliyotaja haikuwepo ila nilirudi kuoekua tu kwa Kasi ya nyoka..maana huku kwenye app tunakimbia tu[emoji3526]

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi uliitunza?
 
Back
Top Bottom