Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

am still too young...napendelea sana app kwa sababu ni user friendly...haina complication kwenye swaala la kuangalia next page tofauti na kwenye browser inakubidi uanze kuitafuta next baada ya kungalia page ya kwanza...though kwenye app swala la kubold na kutumia zile features zingine kama italic zipo complicated sana tofauti na kwenye browser..pamoja na yote jf kwenye browser natumia pale tu napokuwa sina bando...i meann kwenye freebasics

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu mzee,chozi limegoma kutoka sijui kama hili jina linafaa kutumika tena
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
am still too young...napendelea sana app kwa sababu ni user friendly...haina complication kwenye swaala la kuangalia next page tofauti na kwenye browser inakubidi uanze kuitafuta next baada ya kungalia page ya kwanza...though kwenye app swala la kubold na kutumia zile features zingine kama italic zipo complicated sana tofauti na kwenye browser..pamoja na yote jf kwenye browser natumia pale tu napokuwa sina bando...i meann kwenye freebasics

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚ hii Freebasics kumbe ina wadau wengi
 
KD Soma sentensi ya kwanza[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom