carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Halafu mzee wa drafti next week niko townπππhuu mpango ufanyike harakaHahah karibu sana Ustaadh na wewe fanya kabla Ramadhani haijaisha utupe mualiko
The only thing to fear is fear itself
Notification kwenye app n mzgo
Zaid ya covid 19
stidy
Acha jeuri weweππWacha jeuri huku tumekupa hifadhi ya muda tu
Kunakulaje na mask mzee??Hahah! Usikonde mzee sema tu msije bila kuvaa mask
ππππππππππ
#tenanimeonekananux
Duh akufukazaye hakwambii tokaHahah! Usikonde mzee sema tu msije bila kuvaa mask
Sikai mjini mimiπππππππ daah!
Kumbe haujakuwepo town?
Kumbe na wewe umeona eeh?Duh akufukazaye hakwambii toka
The only thing to fear is fear itself
Eh ndiyo si nimekwambia mie naogopa Covid!!?