Application Users Vs Browser Users

Hili tatizo kama limekuwa sugu sasa
Kila siku linalalamikiwa sijui wameshindwa kulitatua
Nashangaa sana yani mm
Kupata notification lazma niende
Pale kwenye kidude cha kengele n refresh
Ndo nione notification,yan had kero

Na kwenye browser shida n
Back (kurud nyuma au kwendelea Next page) kama net yako n ya hovyo
Hovyo unaweza mtukana
Mtu uko nae[emoji3][emoji3][emoji3]

stidy
 
Hii app Sasa n kama maxmello
Amechoka nayo yani inasumbua
Co kawaida ikiamua inafunguka

Ikiamua unaona unaambiwa tu
(Oops) na matatzo mengine yani
N kero na hii app kwa cc wa Android
Kwakwel

stidy
Waturekebishie,
Hii App imekuwa kero Sasa,
Halafu tuliambiwa kutakuwa na mabadiliko kuanzia Mei mosi lakini sioni chochote.

Maxence Melo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…