Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Mimi ni team app sema tangu jana inanizingua nimehamia kwenye browser ila inanichosha
Daah Sijui wanakwama wapi Aisee
Na Maumivu ya Wana Team App yanakua kila kikucha na Nadhani ndio wengi kuliko Browsers..Wajitahidi aisee wat watawasusia JF yao [emoji3][emoji3]
Yeah inachosha dah[emoji38]

I'm on that good kush and alcohol
 
Nimeona mzee baba anasema may 15 app inaweza kueleweka.
Ngoja tuone
 
Kupigwa Calendar kushaanza [emoji23][emoji38]

Jina lako carbamazepine niliona kwnye dawa frani ya ngozi, Hivi ni kweli Au macho yang tu, Mana utakua unajua zaidi kuhsu jina ako

I'm on that good kush and alcohol
Ngoja tuone tar 15 ikifika atakuja na hoja gani.

Itakuwa ni macho yako yalikudanganya.

Carbamazepine ni dawa ya epilepsy(kifafa)
 
Zaidi ya hapo Atakua anairudish nyuma taasisi yake. Me naweza nikaiaga jamii forum yenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Vodacom ilizingua mtandao Siku moja tuu na wapo wat wakaihama. Hili Asilidharau Sana Ohooo though JF ina Uniqueness
Ngoja tuone tar 15 ikifika atakuja na hoja gani.

Itakuwa ni macho yako yalikudanganya.

Carbamazepine ni dawa ya epilepsy(kifafa)
Mmmhh Sasa niliona wapi [emoji848][emoji848]
Maana dawa za kifafa na Mimi wap na wapi [emoji23][emoji23]
You just like the Name or Kuna kauhusianao na Wewe

I'm on that good kush and alcohol
 
Zaidi ya hapo Atakua anairudish nyuma taasisi yake. Me naweza nikaiaga jamii forum yenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Vodacom ilizingua mtandao Siku moja tuu na wapo wat wakaihama. Hili Asilidharau Sana Ohooo though JF ina Uniqueness
Mmmhh Sasa niliona wapi [emoji848][emoji848]
Maana dawa za kifafa na Mimi wap na wapi [emoji23][emoji23]
You just like the Name or Kuna kauhusianao na Wewe

I'm on that good kush and alcohol
Kwamba unamtisha max na mtandao wake🙌🙌

Nilipenda tu jina,halina uhusiano wowote na mimi
 
Kwamba unamtisha max na mtandao wake[emoji119][emoji119]

Nilipenda tu jina,halina uhusiano wowote na mimi
[emoji38][emoji38][emoji38]Wala mtumzima kama Melo hatishiwi Nyau, lakini nyau anadhuru vile vile. Sio mdori ule
.
Okay, I though that You are medical Professional Labda
ila Bado akili inakataa ntakuonesha nilipo ona ni kwenye haya haya madawa yaliyopo hapa hapa

I'm on that good kush and alcohol
 
Back
Top Bottom