ππππππWaturekebishie,
Hii App imekuwa kero Sasa,
Halafu tuliambiwa kutakuwa na mabadiliko kuanzia Mei mosi lakini sioni chochote.
Maxence Melo
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe na subira jamani mbona jazba kama hivyo?Inakera yaani
Halafu walisema Mei mosi Mei mosi
Mimi sioni chochote hapa Zaidi ya hili App kugoma goma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri unionyeshe kwakweli hiyo carbamazepine dawa ya ngozi lol![emoji38][emoji38][emoji38]Wala mtumzima kama Melo hatishiwi Nyau, lakini nyau anadhuru vile vile. Sio mdori ule
.
Okay, I though that You are medical Professional Labda
ila Bado akili inakataa ntakuonesha nilipo ona ni kwenye haya haya madawa yaliyopo hapa hapa
I'm on that good kush and alcohol
Hahaa![emoji16][emoji16]
#njoonaebasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulimwambia lakini asikamie sana hiyo Mei mosi ataambulia patupu. Yamemkuta sasa anatema shit tu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anne alikereka sana naona maana ile kauli ya "li app" imetoka kwa ukali sanaNimecheka sana sio siri, wazee wa Mei mosi wamenifurahisha eti "Li app" sio "app" tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahSema tu hata "Mei mosi Oyeeeh"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana[emoji124][emoji124][emoji124][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole kwa uchovu
Kwani ni Baba yake!??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo huyu mtoto ni mbishi sana
Anamuamini mnoo baba yake
Baba ake anne anazidi tusogeza siku mbele tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku zimesogezwa mbele kumbe?