Application Users Vs Browser Users

Application Users Vs Browser Users

Umeeleza vizuri sana, umeandika mambo mengi ambayo mimi nilikuwa naona uvivu kuyaandika, safi sana bwana mdogo
Loh eti bwana Mdogo [emoji38][emoji38]
Aya ya pili toka mwisho
Mara kule chini unakutana na kauli mbiu
Where we dare to talk openly
Mara sijui Nini
Sijui privacy..vitu vyote vimejazana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani achaa tuu sahivi Kuna tangazo la Corona mara ulibonyeze linakupereke kweny Corona [emoji53] hapo umeshawaambiwa Don't show this again kwenye tangazo la Push notifications[emoji849]
Hahahaha tunasubiri Ahadi waliotoa kuhusu markebisho Kwny App
At least utumie browser kwa Computer [emoji3][emoji3]
 
Kipindi najiunga JF nilikuwa nashangaa sana watu wanaotumia browser...nilikuwa natumia APP tu

Ikaja kutokea nikanyang'anywa simu,ikabidi niwe naingia JF kwa kutumia PC hadi sasa sijioni nikizoea kutumia APP

Ndivyo ilivyo, ukizoea JF kwa PC, unaona kutumia app ni ngumu sana, options ziko limited.

Halafu mimi nimeshazoea nikiingia JF naclick new posts, nachagua nayoitaka. Sasa kwenye app naona siipati hiyo option.
 
Loh eti bwana Mdogo [emoji38][emoji38] Yaani achaa tuu sahivi Kuna tangazo la Corona mara ulibonyeze linakupereke kweny Corona [emoji53] hapo umeshawaambiwa Don't show this again kwenye tangazo la Push notifications[emoji849]
Hahahaha tunasubiri Ahadi waliotoa kuhusu markebisho Kwny App
At least utumie browser kwa Computer [emoji3][emoji3]
Kwanza kuingia tu kwenye hiyo browsers ina complication utadhani barua ya kuomba kazi .

Huku Kwenye app tunateleza tu..

Threads sijui hata wanatafutaje...kupokupo tu nikiingia napata shida yaani kuanza kutafuta pa kuperuzi threads utadhani natafuta majibu ya trigonometry [emoji37]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah! Jamaa kafunguka mpaka mwisho eti vidude vya kushare WhatsApp...

Kwanza nyie watu wa App hata lile bandiko la kuhusu tahadhari ya Corona mnaliona kweli?
Mbona Sijamaliza pale Kaka [emoji38][emoji38][emoji38]
Mambo mengi tuu, wanao-like wanalistiwa pale (unnecessary thing) kwa wanaobrowse, huku Kwenye App ukitaka kufanya huo umbea[emoji38] unabonyeza namba inakuletea List

Ndio lipo linaoneoaka kwenye kila mwanzo wa jukwaa pale juu Wame-Pin Top [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom