Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Isiwe tu iPhoneSaivi kuna simu ambazo ni waterproof itakufaa sana
Walihisi siwezi tumia iPhone mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isiwe tu iPhoneSaivi kuna simu ambazo ni waterproof itakufaa sana
Cover kaliKwendeni huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simu yangu kaliView attachment 1442094
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kifala leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Teja ndio anairudisha ila mtu wa kawaida anapiga simu ya dharula kuita wajeda waje kutegua bomu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kwa nini hutaki hiyo
Dadeq eti ef 50[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nabaki pale kwako kwenye 50k
Siwezi kutumiaKwa nini hutaki hiyo
Uharibifu wa simu huo[emoji3]Mimi mwaka mmoja naweza kutumia simu nne jamani
Je samsungSiwezi kutumia
Sina hela ya kutupa kununulia hiyo simu
Hata nikipewa naipiga Bei naenda kuchukua tekno spark
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepewa zawadi jana tu hii ya akibaYaani wewe nikikutana na wewe nakupora simu yako
Huwezi kuninyanyasa hivi Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu ilivyo nzuri au cover lilivyo zuri? 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Yaani Leo umeniponda Hadi natamani nipost simu yangu uone ilivyo nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simu ilivyo nzuri au cover lilivyo zuri? [emoji3]
Ivue hilo gauni lake tuione ikiwa tupu, utakuta hata mfuniko haina 😀😀Kwendeni huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simu yangu kaliView attachment 1442094
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa emoj tuone kama camera ipo vizuriSimu yangu ni kali jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hembu kiacheni kifaa changu Cha mawasiliano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1442125
Sent using Jamii Forums mobile app