Je ni sawa watoto wadogo (chini ya miaka 5) kutumia simu janja na mtandao?

  • Ndiyo ni Sahihi

    Votes: 12 21.1%
  • Si sahihi

    Votes: 31 54.4%
  • Inategemea, mambo yote yana uzuri na ubaya wake

    Votes: 14 24.6%

  • Total voters
    57

Tuni Comics

Senior Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
129
Reaction score
33


Habari zenu wana jf. Nimekuja hapa kuwatumbulishia application mpya inayoitwa Tuni. Hii app inapatikana Google Playstore na ina katuni mbalimbali zinazoweza kumsaidia mtoto wa kwanzia miaka mitatu na kuendelea, kujifunza kingereza kwa Kiswahili.



Ukishaipakua application kutoka Playstore, utaifunugua na kupakua katuni zinazopatikana kwenye database yetu. Katuni hizi zina mb chache hivyo kuokoa data bundle na nafasi kwenye simu.

App hii ni ndogo na nyepesi hivyo inaweza kutumika kwenye simu zenye RAM na nafasi ndogo. Ingawa ni ndogo, performance yake ipo kama app kubwa zinazotumia nafasi na RAM kubwa.


Tuni Comics kwenye Google Play store

Facebook

Tiktok

Instagram

Baadhi ya maoni tuliyopata kwenye Google Play store👇




MwanaJF aliyepakua app yetu kwenye simu yake 👇
Kama na wewe utapenda kushare nasi namna app inavyoonekana kwenye simu yako unaweza kupost kwenye huu uzi.

Jinsi ya kutumia App ya Tuni👇
Post in thread 'Application ya Watoto Kujifunzia' Application ya Watoto Kujifunzia



 

Attachments

  • Untitled266_20221231192620-01.png
    562.4 KB · Views: 92
Pakua application ya Tuni kwenye simu yako ili mtoto wako aweze kuanza kujifunza mapema jinsi ya kusoma na kuandika kwa Kiingereza na Kiswahili.

Kwa sasa app hii inapatikana Google Playstore tu.



 
Jinsi ya kutumia app ya Tuni:

1. Ingia Google play store halafu uandike "tuni" kwenye sehemu ya kutafutia



2. Ukimaliza kuipakua utaifungua na kubonyeza kitufe kilichoandikwa BONYEZA KUINGIA au kwa kiingereza CLICK TO LOGIN. Utaingia moja kwa moja kwenye app bila kujaza taarifa zozote.



3. Ukishaingia unatakiwa uruhusu app iweze kutumia storage ya simu yako ili kuweza kupakua na kusoma katuni.

4. Ukimaliza kuruhusu utaona vutufe vyenye machaguo mawili ambayo ni ORODHA YA KATUNI (COMIC LIST) na PAKUA KATUNI (DOWNLOAD COMIC).


Ukibonyeza kitufe cha ORODHA YA KATUNI utaelezwa kwamba hakuna katuni mpaka upakue.



Bonyeza kitufe cha PAKUA KATUNI (DOWNLOAD COMIC) na kitakupeleka kwenye ukurasa wa kupakua katuni zilizopo.




5. Ukishabonyeza, subiri katuni imalize kupakuliwa na usiondoke kwenye app. Ikimaliza kupakuliwa itakutaarifu kwenye notification bar.


6. Kwenye app utarudi kwenye menu. Hapo kwenye menu utabonyeza kitufe cha ORODHA YA KATUNI(COMIC LIST) na utapata orodha za katuni zilizopakuliwa kwenye simu yako.



7. Bonyeza kitufe uanze kuisoma katuni yeyote. Katuni inakuwa na kurasa nyingi hivyo kutoka kwenye ukurasa mmoja kwenda mwingine unaswipe upande wa kulia. Ukitaka kurudi nyuma unaswipe upande wa kushoto.



Pia unaweza kuzoom in au kuzoom out ilikuona katuni vizuri zaidi

 
Ahsanteni kwa kuendelea kupakua na kutumia application hii. Nawakumbusha kwamba ni vizuri mtoto asitumie zaidi ya masaa mawili kila siku kwenye application ili isimletee madhara huko mbeleni.
 
Habari za Jumapili, ahsanteni kwa kuendelea kutumia app hii. Kama wazazi/walezi ni vizuri kushirikiana na watoto kusoma katuni hizi ili waweze kujifunza kwa haraka na kukumbuka kwa muda mrefu zaidi.


Pia kukaa na kujifunza na mtoto kuna imarisha mahusiano mazuri baina yenu.
 
Tumeweka katuni mpya ambayo ni shairi linalohusu mti/miti. Nenda Google Playstore ukapakue update hii. Kama hujapakua app hìi nenda Google play store uipakue.

 
Tunapenda kuwahakikishia wateja wetu kwamba app hii ndio kwanza imeanza, itaendelea kuwepo haiendi popote, na tunazidi kuiboresha ili iwe app bora zaidi kwa matumizi yako. Hivyo hautajuta kabisa kuamua kutuamini.
 
Ahsanteni kwa kuendelea kutumia app hii. Wiki ijayo kutakuwa na maboresho mapya makubwa yatakayobadilisha kabisa muonekano na kurahisisha matumizi kwa wateja wetu. Hiyo kaeni mkao wa kula na msiache kuendelea kupakua na kuisambaza kwa wengine.
Tayari tumefanya maboresho makubwa. Toleo jipya la app yetu linapatikana Google Playstore. Kama umeshapakua usiache kupdate na kama hujapakua kabisa usisite kupakue ili usipitwe na mambo mazuri
 
Tunapenda kuwakumbusha wazazi watoto wasitumie simu muda wa usiku.
Watoto wakitumia simu usiku, wanashindwa kulala vizuri na kuathiri namna watakavyokuwa siku nzimu. Hivyo ni muhimu sana watoto wasitumie simu baada ya saa 12 jioni.
 
Ahsanteni kwa kuendelea kutumia app hii. Msisite kutoa maoni yenu kwenye playstore ili tuyafanyie kazi na kama kuna tatizo lolote mnaweza kuwasiliana nasi hapa Jamii Forum kwe njia ya private messages (pm) au kwenye huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…