SOFTWARE Application ya Katuni kwa Watoto Kujifunzia

Je ni sawa watoto wadogo (chini ya miaka 5) kutumia simu janja na mtandao?

  • Ndiyo ni Sahihi

    Votes: 12 21.1%
  • Si sahihi

    Votes: 31 54.4%
  • Inategemea, mambo yote yana uzuri na ubaya wake

    Votes: 14 24.6%

  • Total voters
    57
Tunawatakia heri ya mwaka mpya 2023. Ahadi yetu kwenu ni kuendelea kuwapatia katuni bora za kuelimisha, kufurahisha na kuburudisha. Ahsanteni kwa kuwa nasi.
Untitled266_20221231192620-01.png
 
Katuni mpya inaitwa Kasi imetoka. Boresha app ya Tuni kwenye Google Play Store ili usipitwe nayo. Kama huna app ya Tuni, ipakue sasa ili usipitwe na katuni zetu bora h a p a.
Untitled228_20230103001513-01.jpeg
 
Bahati alimuuliza nini mama yake? Ukitaka kufahamu pakua au boresha sasa hivi app ya Tuni h a p a ili usipitwe na hii katuni ya "Kasi".
Untitled266_20230109110922-01-01.jpeg
 
Pakua au boresha app ya Tuni kwenye Google Playstore, ili usome katuni mpya ya "Kasi".
2023-01-03-204235938_1.gif


 
App ya kujifunza kwa watoto wadogo ya Tuni ina katuni nyingi zenye kuvutia na kuelimisha. Ipakue sasa kwenye Google Playstore ili mtoto akijue Kiingereza mapema.
VideoCapture_20230119-192444.jpg
 
Kwanini mtoto apitwe na katuni za kujifunzia Kiingereza? Pakua au boresha app ya Tuni leo, mtoto asikose katuni za mafunzo.
2022-12-21-164110703_1.gif


 
Umesoma katuni ya "Kasi" sehemu ya kwanza. Kasi sehemu ya pili imetoka leo. Pakua au boresha app ya Tuni h a p a usipitwe nayo.
Untitled228_20230201124407-01.jpeg
 
Hadithi ya Bahati inaendelea kwenye katuni ya "Kasi" sehemu ya 2. Pakua au boresha app ya Tuni h a p a uendelee pale ilipoishia "Kasi" sehemu ya 1.
Untitled247-1.jpg
 
Bahati alienda kasi sana. Kasi kuliko... Muendelezo wa katuni ya "Kasi" umetoka. Boresha au pakua app ya Tuni h a p a usipitwe nao.
Untitled271_20230207164917-01.jpeg
 
Hakuna upinde wa mvua?
Hapana mkuu, hakuna kinachokinazana na mila za Kitanzania.

App ya Tuni imetengenezwa na Watanzania na inaendeshwa na Watanzania kwa kila kitu, hivyo hatuna mashinikizo ya kuweka mambo yatokayoenda kinyume na maadili ya jamii yetu.
 
Umesoma katuni ya "Kazi"? Kama tayari umesoma, isome tena na kama bado boresha au pakua app ya Tuni h a p a usipitwe nayo.
Movie004_1.gif




 
Pakua au boresha app ya Tuni kwenye Google Playstore h a p a, usome katuni za kujifunzia, Kiingereza kila siku.
Untitled221_20230219141134-01.jpeg
 
Bahati alienda kasi sana. Kasi kuliko... Muendelezo wa katuni ya "Kasi" umetoka. Boresha au pakua app ya Tuni kwenye Google Playstore h a p a usipitwe nao.
2023-02-14-181104223_1.gif


 
Umesoma katuni ya "Rangi za Nguo" ? Kama bado, pakua app ya katuni ya Tuni sasa kwenye Google Playstore, ili ujifunze majina ya nguo na rangi mbalimbali kwa Kiingereza kupitia katuni hii.
Movie006_1.gif


 
Katuni mpya inaitwa "Vivuli" imetoka. Pakua au boresha app ya Tuni h a p a kwenye Google Playstore sasa uisome.
Untitled266-01.jpeg
 
Sifa za vivuli ni zipi? Pakua au boresha app ya Tuni kwenye Google Playstore uisome katuni ya "Vivuli".
Untitled228_20230308180544-01.png
 
Back
Top Bottom