Yaani wewe unaulizia application wakati hata form6 wote hawajamaliza mitihani.....are you serious?? Wataaply vipi wakati hata kusahihishwa mituhani ni process??? Next week form 6 wote wanamaliza mitihani......na usahihishwaji si chini ya 3months. Baada ya matokeo ndio mchakato wa kuapply vyuoni na mikopo unaanza.
Sasa hata matokeo yao hawayajui unataka wakaapply mkopoππππππ