Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe unaulizia application wakati hata form6 wote hawajamaliza mitihani.....are you serious?? Wataaply vipi wakati hata kusahihishwa mituhani ni process??? Next week form 6 wote wanamaliza mitihani......na usahihishwaji si chini ya 3months. Baada ya matokeo ndio mchakato wa kuapply vyuoni na mikopo unaanza.
Sasa hata matokeo yao hawayajui unataka wakaapply mkopo😀😀😀😀😀😀