Application za HESLB tayari?

Application za HESLB tayari?

MARCKO

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
2,258
Reaction score
275
kama tayari, naomba utaratibu maana ninawadogo zangu wahitimu wa FORM 6 mwaka huu na Simu yangu imeshindwa kufungua OLAS. Aksante!
 
Yaani wewe unaulizia application wakati hata form6 wote hawajamaliza mitihani.....are you serious?? Wataaply vipi wakati hata kusahihishwa mituhani ni process??? Next week form 6 wote wanamaliza mitihani......na usahihishwaji si chini ya 3months. Baada ya matokeo ndio mchakato wa kuapply vyuoni na mikopo unaanza.
Sasa hata matokeo yao hawayajui unataka wakaapply mkopo😀😀😀😀😀😀
 
Unapojibu hoja usiwe unakurupuka,kama ujui kaa kimya sio lazma ujibu!!!.......HESLB tayari na mwisho ni 30/6/2014
 
Back
Top Bottom